Dodoma inakubali?Kama kicha cha habari kinavyosomeka mwenye nayo mbegu hiyo ya hass anielekeze nimachukye fasta.
Dodoma itakubali lakini Inabidi uitunze Vizuri sana...Dodoma inakubali?
sawa bossIringa mbali boss nipo dom na naitaji miche mi2 tu kwa ajili ya kuotesha nyumbani.
Mcheki huyu Lily TonyKama kicha cha habari kinavyosomeka mwenye nayo mbegu hiyo ya hass anielekeze nimachukye fasta.
karibu boss nikuhudumie.Huwez nipatia namba yake??