Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa muongozp huu kufuatana na picha ya sampo hapo chini A. sh.45, 000 B. sh.30, 000 C. sh.75, 000 D. sh.250, 000 E. Sh.65, 000 F. sh.150, 000 •Deliveries zipo kwa Dar na mikoani natuma pia kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni mjasiriamali msindikaji wa wine mbalimbali natafuta chupa tupu (mpya) za kuhifadhia bidhaa yangu ili kuiongezea thamani . Aina ya chupa ninazohitaji ni zile zilizowekwa nakshi (electroplated)...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Mbwa jike GERMANY SHEPHERD ana umri wa miezi2 na wiki2. Yupo Pugu-Dar. cont:0625471226 bei laki4 ila mazungumzo yapo
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Natafuta mteja Wa kumtumia karanga nyeupe kwa bei ya Jumla 1300 per kg,mkoa wowote,maongezi zaidi WhatsApp 0789139153
5 Reactions
24 Replies
5K Views
Tunauza samaki aina ya sato kutokea Ziwa Victoria.. Usafiri kutoka Mwanza hadi Dar juu yetu. Tunauza kwa bei ya jumla tu, kuanzia kilo 50. Bei: Bei kwa kilo moja ni Tsh 8,500/- Malipo...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Kwa wahitaji wa mahitaji tajwa hapo juu kwa bei nafuu! Kokoto nyeusi saizi zote Tarazo (white stone)kokoto nyeupe za urembo (mawe meupe Mchanga aina zote Mkaa uwakao kwa muda mrefu na usiokuwa na...
1 Reactions
14 Replies
8K Views
Jamani habari wakuu, nauza bidhaa zifuatazo, naclear stock mana zimebaki pcs chache sana. Mikanda ya kupunguza tumbo Kwa wadada , @Tsh 15000 ..zimebaki pcs 7 Safari bags @Tsh 25000 Zipo pcs...
2 Reactions
0 Replies
730 Views
Kuna Viwanja na mashamba yanauzwa kwa bei nafuu saana , mwenye uwezo karibuni ni fursa nzuri kwani hiki chuo kina fursa kibao ikiwemo biashara ya hostel pamoja n mahitaji ya binadamu ya kila Siku...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Jiko la gas na umeme pamoja na oven. (Gas 3 na Umeme Moja) Limetumika kidogo sana. Ni VICTRA Japan. Njoo ulione ujiridhishe. Bei inapungua kidogo. Lipo Segerea - Dar es salaam Bei: 450,000/...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
CC 1290 Year 2005 In Mint condition Full doc. file Bei 9.8m (maongezi yapo) Watsap 0715140001
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Tunatengeneza na kuuza mashine za kuchomea( welding) za size mbalimbali. Ni wakati wa kujiajiri sasa mambo yameshabadilika. Bei inaanzia 300,000/- Tunapatikan Ubungo 0713322856
1 Reactions
6 Replies
2K Views
NYUMBA INA SIFA ZIFUATAZO 1. INAVYUMBA 3 2.UMEME 3.MAJI 4.FENSI #MALIPO 1.KODI 400,000 (LAKI NNE) KWA MWEZI. UNALIPIA MWAKA MZIMA. 2. MALIPO YA OFISI(UDALALI) 400,000/= 3. SITE VISIT 10000/=...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Karibuni Sana Chawging investment Kwa huduma za fumigation Tunapuliza dawa za viuatilifu kutokomeza wadudu hatarishi warukao na watambaao majumbani, maofisini, mashuleni, mashambani, kwene...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu jamaa na marafiki, Kama kichwa cha habari kilivyo jieleza, nahitaji chumba cha kupanga kiwe kizuri chenye muonekano mzuri nje na ndani. Naweza kulipa 70k mpaka 80k per month so...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Kwa mdau yeyote anaetaka au anaevutiwa na ufugaji wa samaki aina ya sato na kambale basi karibu sana Sisi tunajihusisha na kumtembelea mfugaji na kumshauri Kama eneo linafaa au halifai Lkn pia...
2 Reactions
29 Replies
7K Views
Habari za asubuhi wadau... Kama unaking'amuzi cha startimes antenna au dish na haupati local channels either hazipo au hadi ulipie nitafute.... Ninachohitaji ni kadi number ya king'amuzi chako na...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
habari wandugu, nauza simu aina ya iphone X, imetumika kwa miezi mitano tu. Ina uwezo wa gb 256,[emoji736] Face Lock [emoji736] True tone [emoji736] Kwa mwenye uhitaji wa simu hii bei ni 800,000...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jiko la gasi na umeme pamoja na oven. (Gas 3 na Umeme Moja) Limetumika kidogo sana. Ni VICTRA Japan. Njoo ulione ujiridhishe. Bei inapungua kidogo. Lipo Segerea - Dar es salaam Bei: 450,000/...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
DESKTOP DELL YAKUSIMAMA processor•intel Core i3 2120 ram•8gb 4x2 hdd•500 | 320 display• HP L1710 NCH 17 mouse•hp wired optical mouse gamepad•Ucom bei ya kuuza ni 300k LINGANISHA BEI YA DUKANI...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Mliopo Dodoma Dar na moro naomba uzoefu wenu nataka kujua bei za karoti kwa kigunia na kabechi mwezi wa 11. 12 na januari huwa inacheza vipi ? Nampango wa kupanda zitoke hio miezi kwa hio naomba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom