Mita 800 kutoka Bagamoyo Road (Bunju sokoni).
Nyumba haijaisha (Pagala) inauzwa kama ilivyo.
Vyumba vitatu, kimoja master bedroom.
Sitting room, jiko na public washroom. Corridor.
400 square...
NINAWASHUKURU WOTE MLIOPITIA NA KUCHANGIA HII THREAD, NIMEFANIKIWA KUIUZA PROJECTOR NA MUNGU AWABARIKI TUENDELEE KUSADIANA.
MIMI NI KIJANA NINAEJISHUGHULISHA NA UJASIRIAMALI NA KILIMO..NAWATAKIA...
Boma lipo kisiwani kigamboni
Lina vyumba vitatu kimoja master
Sitting room dining room jiko na
Public toilet plot Ina 15×20 Bei
Milioni kumi na tano ml 15 nicheki
0787672719
0713672719
Habarini za leo wanajukwaa?... nimerudi tena kwa mara nyingine tena kutafuta mtu yoyote anae fanya biashara ya kuuza mayai ya kienyeji aliyepo Dodoma vijijini.
Kiwanja kipo sehemu nzuri,kituo kwa george,dakika tano kutembea kutokea main road mpaka kwenye kiwanja,huduma zote za kibinadamu zipo umeme,maji(dawasco) yapo.
Ukubwa wa kiwanja ni 20*20 kwa...
Viwanja vinauzwa vipo Mbezi Luois
Cha kwanza kinaukubwa wa square mitre 1,154
Bei milioni 37,000,000/=
Cha pili square mitre 900
Bei milioni 25,000,000/=
Cha tatu square mitre 850
Bei milioni...
Viwanja kibaha
Square meter 500
Price million 5
Vipo viwanja 12
Umbali kutoka barabara kuu ni kilometer 1.5
Maji na umeme vipo, eneo lililochangamka sana
Karibuni.
Miliki viwanja kwa Bei rahisi kabisa
Vimepimwa na kuthibitishwa na Wizara
Malipo Ni kwa awamu hadi miezi 6
Viwanja vipo
✓Bunju A
✓Madale mivumoni
✓kigamboni
Kwa Dodoma
✓chamwino chang'ombe
✓Ihumwa...
Viwanja vinauzwa kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha afya.
vipo vinne(4) mitaa 35 kwa 35 bei ni million 4.5 (4,500,000)
ukichukua vyote vinne utapata punguzo
kutoka main road mpk kwenye...
Property connect ltd, inautangazia umma juu ya uuzaji wa viwanja vilivyopo ndani ya miradi yake maeneo ya #kigamboni
viwanja vyote vimepimwa [emoji736]
Eneo: amani gomvu (kigamboni)
(karibu na...
Matatizo mengi ya ngozi husababishwa na matumizi ya sabuni na vipodozi vyenye kemikali mingi pamoja na miale ya jua katika maisha ya kila siku.
Faida ya matumizi ya sabuni za mazao ya nyuki ni...
Nauza eneo (ekari moja) Milioni 12 ,Ila naweza kukata viwanja vya 35*35 kwa 3 milioni . Kiwanja kipo lingato kigamboni. Kama unatoka ferry kwenda kongowe kituo Ni fundi baiskeli halafu unachukua...
MFUMO WA KUANDALIA RATIBA YA MASOMO MASHULENI.
Mfumo huu umetengenezwa mahususi kwaajili ya kurahisisha kazi ya uandaaji wa ratiba ya masomo shuleni.
Kazi kuu ya mtumiaji ni
1. Kuingiza taarifa...
Salaam, nyumba ya kupanga inatafutwa Mkuhungu Dodoma:
1. Bei 250,000
2. Uwezo wa kulipa mwezi 1_ mitatu
3. Iwe karibu na maeneo ya shule za Tumaini, St Home au Chemchem
Ni hoteli ya kisasa ambapo mtalii unaweza kujionea wanyama mbalimbali kama swala pala, zebra , nyumbu ngiri na jamii ya wanyama wengi wala majani.
Ipo katika eneo lenye takribani hekta 1200.
N:B...
Habari mabibi na mabwana!
Tunauza vitu mbalimbali used ambavyo mostly ni vitu vya ndani
Kama:
Friji
Vitanda
Sofa
Magodoro size mbalimbali
Bufa/redio
Tv aina mbalimbali
Zipo pia cherehani...
Ndugu wanajukwaa natafuta, kiwanja cha kununua mkoani Mwanza kama inavyosomeka hapo katika kichwa cha huu Uzi.
Sifa: 400SQM, kiwe kimepimwa, kinafikika na barabara, hakina mgogoro wowote na pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.