Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza vichwa vya cherehani aina ya JONES 1681 na aina ya CRESTA Vichwa vyote viwili shilingi 400,000/- Vinapatikan Singida Mjini. Mawasiliano 0674212048.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanna jamii. Ninauza kiwanja ambacho kina ukubwa wa sqm 558, Kiegeya Morogoro mjini,tayari kina misingi ya nyumba mbili,mmoja una vyumba 3 ikiwemo master bedroom, sitting room,stoo jiko na...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Lenovo Thinkpad T450 8GB RAM 240GB SSD 1920x1080 Full HD Display Intel 5th Gen i5-5300u 2.30ghz to 2.90ghz boost. [emoji367] 3hrs Battery Price: 390,000/= Contact: 0738463902 / 0743527350
0 Reactions
9 Replies
2K Views
FURSA! FURSA!FURSA [emoji389][emoji389]VITENGE TOKA CONGO NA VIJOLA KWA BEI NAFUU.[emoji56][emoji294][emoji91] 1:[emoji389][emoji3060]VITENGE ORIGINAL VIZITO TOKA CONGO pis 3.....jumla 23,000/=...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam.!! Wakuu ninauhitaji wa king'amuzi cha startimes cha antenna kama kuna mtu atakuwa nacho tuongee biashara wakuu location nipo Arusha. Asanteni!
1 Reactions
0 Replies
741 Views
Naomba kujuzwa, ipi ni betri mzuri kwa matumizi ya umeme jua kati ya zile kavu na za maji?? Napata mkanganyiko kwa sababu kuna mtu ameniambia betri kavu si mzuri kwa vile hazina mbadala na zile za...
0 Reactions
31 Replies
32K Views
Shamba linaukubwa wa heka 1. Lipo Lushoto Tanga. Shamba lipo kando ya chemchem kama inavyoonekana kwenye picha. Shamba la kulima safi kabisa. Piga simu0712773128. Bei milioni 8 na maengezi yapo.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Tecno is one of the makers making great progress in the budget and midrange segment in the past year. Its Camon 17 series offered large screens, ample battery life and respectable cameras and we...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
DEPO YA VINYWAJI INAUZWA KAHAMA Nahusika na uuzaji wa bia za kampuni ya TBL pamoja na soda za kampuni ya COcaCola, pamoja na pombe zingine kama konyagi, kvant n.k.Kwa ujumla mzunguko ni mkubwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye harrier new model budget yake isizid 15M mwenye nayo anipigie 0744551655 tufanye biashara.
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Plot Zipo cheka kigamboni zimebaki mbili Kwa pamoja Bei ya awali ml 4 kila moja sasa Bei ya punguzo kwa zote mbili ml 5.5 Ukubwa no 20×20 zipo karibu na chuo Cha Silva una weza Jenga hostel...
0 Reactions
6 Replies
990 Views
Zile taa za picha ya piano bado zipo sasa bei imepungua offer ya mwisho wa mwaka ilikuwa 20,000 ila sasa ni 15,000/=tu Inamwanga unaopendezesha ndani ikiwaka picha nzuri kabisa ya piano Unaweza...
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Tunakuletea NMB salary advance! Huduma ya kukuwezesha kupata pesa kabla ya siku ya malipo ya mshahara. Huduma hii ni kwa waajiriwa wa taasisi zote za serikali ambao mishahara yao inapitia NMB, na...
0 Reactions
25 Replies
16K Views
Ndugu zangu naombeni mwenye kufahamu zinapopatikana mashine za kufyatulia tofali za udongo ambazo huchomwa. Nimeambatisha picha, ni vyema zaidi nikafahamu na bei ya mashine yenyewe. Shukrani...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Ramani ya vyumba vitatu , chumba kimoja masta, sebule na choo cha kushea, Ukubwa wa Ramani ni mita 9/kwa mita9/...kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649.
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Nauza printer mpya Epson L810, inaprint picha, CD, ,business card za pvc n.k. Bei ni shilingi laki saba na nusu (750, 000). Bei ya shop ni mpaka mil.1. Nicheki 0713767579
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Inafaa Kwa Matumizi mbalimbali. Bei:45 ML
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu. Jamani haka kagari nimekapenda. Engine yake ndogo 1090cc, kamenyanyuka juu halafu ni Manual. Nataka kukanunua kwa matumizi ya kuendea kazini. Nisaidieni ushauri kwa wanaojua gari...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Gari iko vizuri sana katika idara ya mafuta haina AC. Imepigwa polish tu kwa ajili ya kuing'arisha. Ipo Temeke, DSM Call me 0713096076
0 Reactions
1 Replies
1K Views
150K FIXED. call & whatsap 0654234567
1 Reactions
1 Replies
493 Views
Back
Top Bottom