Kama picha zinavyoonekana wadau,hii TV inauzwa, ina ubovu.
Tatizo: Mtoto aliiangusha ikapiga 'kleksi'. Inawaka vizuri na kuonesha ila picha sio nzuri tena. Kwa mujibu wa mafundi inatengenezeka...
Wale wakali wa decoration,
Wapaka Rangi za aina mbalimbali, karibu ununue rangi kwetu na utapata maji ya kunywa buree
Rangi tulizo nazo ni
1.Drewa (mineral stone) kg 25
2.Cone mix (Terrasit) kg25...
Wanajamvi habari kuna vitabu hapa vya wanafunzi wa masomo ya science naviuza kama ifuatavyo
1. Understanding biology for Advanced level 20000 Tsh
2. Pure mathematics 1st edition@ 10000 Tsh
3...
Nyumba inauzwa bunju A
Ina vyumba vitatu sitting room dining room kitchen store public toilet
Uwanja ni sqm700
Inauzwa pamoja na fenicha zake ndani.
Bei 150m
0762815104
Naomba kujua - kwa anayefahamu - mahali ninakoweza kununua chupa tupu
za glass
za robo lita,
nusu lita na
lita moja
kwa ajili ya kuhifadhia vitu mbalimbali.
Natanguliza shukrani.
Kwa mahitaji ya perfume hizi zenye harufu nzuri sana tuwasiliane no. 0653405342....Bei nauza tsh.7500
Kuna Maryam perfume, salaam perfume, Al rehan perfume, Dirham perfume n.k
Napatikana mbande Dar
Huu ni ujumbe mahsusi kwa wawakilishi wa makampuni, viwanda na biashara zote wakiwemo wajasiriamali.
Hakuna sababu ya kuhangaika na safari za nje ya nchi kufuata bidhaa au huduma. Ni upotevu wa...
Wana jf karibuni mjipatie viti vya ofisisi kwa kila kiti unapata kwa bei ya laki 250,000 viti vipo vizur sana PIGA 0677423349 tukuletee ulipo Kama wewe ni mkazi Wa dar es salaam location ni kigogo...
Nyumba inauzwa ikiwa haijapauliwa ramani ya kisasa
Eneo ukubwa ni 30*25
Mahali Mbezi luois
Bei milioni 35,000,000/=
Mazungumzo yapo na karibu sana
Mawasiliano piga sim 0713660178
Habari,
Zipo external za transcend, used but in mint condition.
2TB kwa 100,000 FIXED
3TB kwa 200,000 FIXED
Call 0712198128
Call 0712198128
Call 0712198128
Wakuu poleni na majukumu,
Ninayofuraha kuwatangazia kuwa nauza korosho bei sawa na shambani ninapatikana Dodoma, Korosho ni safi zinachambuliwa kabla ya kuzifunga na kuzipima kwny mzani ndipo...
Kama unasumbuliwa na tatizo la mapele baada ya kunyoa ndevu, kwapa na hata huko chini kwenye msitu wa Pande, tafuta hii dawa...
Hakikisha unapaka mara baada ya kunyoa angalau kwa siku tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.