used smart tv : inch 43 imetumika miezi 3
Kampuni: homebase
Ina :warranty,boksi,stand ya ukutani na chini, remote na waya zake
Eneo: Dar-es-Salaam, Ubungo Riiverside
Bei: 650,000
Contact: 0712518770.
[emoji1485]Imetumika kiasi na bado ipo vizuri.
[emoji1485]Unaweka laini mbili.
[emoji1485]Ina face unlock na uwezo wa 4G
[emoji1485]105,000/= tu pamoja na delivery dsm pekee.
Piga/whatsapp...
Tunajihusisha na uuzaji na usambazaji wa tangawizi,
bei 1kg=800tsh
Gunia kubwa(debe 12)=lak 1.4
Ni fursa kubwa kwa wafanya biashara za viungo na viwanda vinavyojihusisha na bidhaa za...
Nina mafuta ya Alizeti halisi ambayo imepitia process zote za refinery na kuhakikisha yanabaki as clear as possible huku yakibakia na health benefits za vitamins muhimu kama A,D,E na K bila...
Habarii za usiku wana Jf polen na majukumu.
Kijana nimejichanga sasa naitaji kiwanja cha million 1.5 na mm nianze mchakato wa kutoka ktk nyumba za kupanga asanten sana, kiwanja kiwe DSM.
Nawasilisha
Habari wana JF,
Natafuta siagi za karanga, parachichi, kahawa, embe, shea butter, Sea moss, Bentonite Clay. Brown sugar, wheat etc
Pia natafuta (Not oils)
Rose water, Aloe Vera(organic)...
FURSA! FURSA!FURSA
[emoji389][emoji389]VITENGE TOKA CONGO NA VIJOLA KWA BEI NAFUU.[emoji56][emoji294][emoji91]
1:[emoji389][emoji3060]VITENGE ORIGINAL VIZITO TOKA CONGO pis 3.....jumla 23,000/=...
Wakuu naombeni kujua jinsi gani naweza pata makala za kitambo nimejikuta nawamisi akina lodi lofa mapungo pimbi baba ubaya na wengine wengi nimejaribu google sipati mzigo kamili
Natamani kujua gharama za mashine ya kukamulia alizeti na kuchuja.
Pia uwezo wake ni mhimu sana nikafahamu. Nina ndoto za kuingia kwenye tasnia ya usindikaji
Nitashukuru nikipata msaada wenu
Habari wanajamii
[emoji213]Ni nyumba ya pili toka barabara kuu ya lami
[emoji213]Nyumba ina vyumba vitatu, viwili masters
[emoji213]Public Toilet moja
[emoji213]Ukumbi, Dinning, Jiko...
Nyumba ya kuishi inauzwa, ipo Chanika Zingiziwa, Mtaa wa Ngobedi. Ina vyumba vutatu kimoja ni master. Pia ina choo cha nje na eneo ambalo unaweza kujenga kitu kingine. Ipo kwenye eneo tulivu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.