martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 864
- 1,464
Habarini wanajamvi
Nina shida na eneo la kufugia kuku, nahitaji mahala nitakapoweka banda la kuku na kuanza mradi wa ufugaji wa kuku.
Eneo hilo si kwa nia ya kulinunua kwani sina pesa hiyo kwa sasa, ila nahitaji eneo ambalo angalau nitalipia kodi kwa mwezi.
Nahitaji eneo lililowazi na kubwa ambalo halipo mbali sana na makazi ya watu, ambapo inaweza kuwa rahisi kupata uangalizi kutoka kwa wenyeji husika, eneo hili ni kwa Dar es salaam tu!