Kiwanja kinauzwa Igoma mwanza.
size ni 30*25 ft
kipo mtaa wa kilimo A, Igoma jijini Mwanza.
Umeme upo kiwanjani, maji yapo hapo pia.
Kiwanja ni kizuri sana njoo uone kwa macho.
Bei 6 million...
Nyumba nzuri ya kupanga yenye vyumba 2(Kimoja ni master) ,Sebule kubwa ,choo cha public kwa ndani,Jiko kubwa na veranda lenye nafasi pande zote na iko ndani ya fence inapatikana eneo la Nzuguni...
Husika na kichwa hapo Juu..Nauza laptop Acer ikiwa na sifa hizi
Liquid Crystal Display 15'5
RAM 4GB
Harddisk 320GB
Battery 2hrs
WebCam
Bluetooth
Running Windows 10
Bei nahitaji Tsh.250,000 only...
Eneo: Goba Kulangwa
Uelekeo: 2Km kutoka barabara mpya ya lami ya njia nne kwenda Tegeta
Ukubwa: 400sqm
Hadhi: Skwata
Bei:Milioni 12
Eneo zuri lina barabara nzuri, na Umeme Upo tayari.
Ukihitaji...
#Ps2 fat zipo mbili zipo full kila moja ikiwa na flash yenye game 10
#ps2 moja ikiwa full bila tv ni Tsh 100k na TV ni Tsh 150k
#Zote nne ni yaani TV mbili na ps2 mbili Tsh 300k
#Hiyo TV nyeusi...
Habari wanaJF, kutana na wasambazaji na wakulima wakubwa wa zao la TANGAWIZI kutoka rungwe- mbeya, tunajihusisha na kutoa huduma ya usambazaji wa TANGAWIZI kwa wafanya biashara kutoka seheme...
Offer OFFER offer.
Kwa mara nyingine jipatie raba Kali kwa shilingi elfu kumi na mbili. Ukinunua kuanzia 2 inakua 10000.
Nipo kariakoo karibu na shule ya jangwani. Nicheki 0620239355
Nauza mashine za kutengeneza aina mbalimbali za mabati na kofia. Machine ni mpya na zinafika Dar es salaam tarehe 23 April. Mashine ni hizi zifuatazo
CORRUGATED ROOFING MACHINE
Hii inatengeneza...
kwa mamlaka niliyopewa chini ya kifungu cha 7 katiba ya shule na uhuru wa kuongea ktk katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,nawatangazia watanzania wote kuwa kuna nafasi chache sana za kuhamia...
Nyumba ina vyumba 3 kimoja ni self
Ukubwa wa plot 1400sqm
Bei 300m
Nyumba ni ya tatu kutoka barabara ya lami kunduchi ununio
Kwa maongezi zaidi na kuja kuona wasiliana nami kwa
0756060183
Samahani waislamu,
Kwa mahitaji ya majike ya nguruwe yenye mimba. Napatikana Mbezi kwa msuguri.
Mbegu ni large white.
Bei chee kabisa ofa ya sikukuu.
500,000 kwa jike moja.
0783985530
Karibuni...
Habari wakuu.
Uvimo tumeendelea kutoa huduma zoote za ujenzi kote nchi nzima.
Huduma zetu daima huanza
KUCHORA RAMANI -HADI WEWE MDAU UNAINGIA KWENYE NYUMBA YAKO.
Uvimo maktaba ,ni program yetu...
Wakuu salama
Nimeona thread nyingi humu zinapostiwa kuhusu biashara mbalimbali lakini hakuna biashara ya vifaa vya michezo. Mimi kama muuzaji wa vifaa vya michezo nimeona nije kusaidia watu...
Kuna mashuka size 7"6 ni makubwa.
Sh.25,000 tu.
(Package Ina mashuka mawili na pillowcases mbili)
[emoji598]Deliveries zipo kwa Dar na mikoani natuma pia.
Ukihitaji nicheki WhatsApp 0685269533...
Viwanja vipo mita 500 kutoka Barabara kuu ya lami morogoro to dodoma,hakuna haja ya bodaboda, kutoka msamvu stand ni daladala moja nul ya manispaa. pamejengeka vizur sana, vipo ndani ya fansi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.