Computer4Sale Laptop Acer inauzwa

Nalonga

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
225
53
Husika na kichwa hapo Juu..Nauza laptop Acer ikiwa na sifa hizi
Liquid Crystal Display 15'5
RAM 4GB
Harddisk 320GB
Battery 2hrs
WebCam
Bluetooth
Running Windows 10
Bei nahitaji Tsh.250,000 only
Napatikana Dsm
Mabibo Hostel
Mob:0713598825

20211215_121646.jpg
20211215_121703.jpg
20211215_121657.jpg
20211215_121538.jpg
 
Hana akili hiyo machine labda apelekea machinga coplex pale watampa ata elfu 80
Boss wangapi kibongo bongo wananunua brand new pc dukani?? kariibu wote tunanunua either refurb au used na bei haiwezi kuwa chini ya laki mbili au tatu...hiyo 80K hata desktop upati.

Hii ni used but in very good condition...haijarishi ya mwaka gani....Umehamua tu kuniharibia biashara kama ilivyo kawaida yetu wabongo.

Hapo nimesema na bei inazungumzika tatizo lako bosi wangu liko wapi?
 
Hiyo ni old model ya kizaman sana huwezi kuiuza kwa 300 k labda upate kipofu
Ni kweli ni old model chief lakini haina tatizo lolote,inawezekana nisipate 300k,lakini hebu kuwa realistic mkuu ndio useme waweza uza kama ni yako kwa 80k?
 
Boss wangapi kibongo bongo wananunua brand new pc dukani?? kariibu wote tunanunua either refurb au used na bei haiwezi kuwa chini ya laki mbili au tatu...hiyo 80K hata desktop upati
Hii ni used but in very good condition...haijarishi ya mwaka gani....Umehamua tu kuniharibia biashara kama ilivyo kawaida yetu wabongo
Hapo nimesema na bei inazungumzika tatizo lako bosi wangu liko wapi?
Sawa ila hiyo machine at least ungetagaza kwa 150 atakama wabongo wananua used ila sio kwa ilo mbango.
 
Sawa ila hiyo machine at least ungetagaza kwa 150 atakama wabongo wananua used ila sio kwa ilo mbango

Sawa ila hiyo machine at least ungetagaza kwa 150 atakama wabongo wananua used ila sio kwa ilo mbango.
ahahaha...etuii hilo Mbango....ilaa we mjamaa una madharau ujuee....anyway...ili mbango langu siwezi uzaa chini ya 250 aiseeee.
Fanya mpango nitafutiee mbango la 170 mimi ninunue..😀😀
 
ahahaha...etuii hilo Mbango....ilaa we mjamaa una madharau ujuee....anyway...ili mbango langu siwezi uzaa chini ya 250 aiseeee.
Fanya mpango nitafutiee mbango la 170 mimi ninunue..
Unafikiri hupati kwa 170? Unapata vizur tu sema hauko kwenye hizo issue! Machine ya 300 mbona unapata machine nzuri generation 4-5 ila hiyo ata kwenye generatiob haipo banah
 
Unafikiri hupati kwa 170? Unapata vizur tu sema hauko kwenye hizo issue! Machine ya 300 mbona unapata machine nzuri generation 4-5 ila hiyo ata kwenye generatio
sasa unazosema wewe Boss simpaka mtu atokee awaletee na hujui kamuumiza nani??...hii mali halali bosi wangu....mkuu yaan wewe kama unayo ya 200 hizo 4th to 5th generation....iposti hapa ...ila hii yangu naona nikiiuza chini ya 250 hainilipi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom