frabel
Member
- Mar 13, 2021
- 96
- 60
Habari wakuu.
Uvimo tumeendelea kutoa huduma zoote za ujenzi kote nchi nzima.
Huduma zetu daima huanza
KUCHORA RAMANI -HADI WEWE MDAU UNAINGIA KWENYE NYUMBA YAKO.
Uvimo maktaba ,ni program yetu ya kujadili mada mbalimbali za ujenzi kupitia kundi la UVIMO PUBLIC CENTER
Na leo tuangazie utaratibu wetu wa kutathimini ujenzi.
Moja ya shuguli na jukum letu ni kufanya tathimini ya kitaalam ya mradi kwa kutumia ramani yako au tuliyo kuchorea sisi UVIMO.
Ili kupata tathimini , kuna taratibu mbili ambazo inabidi ukubali moja wapo.
1-KUKUFANYIA TATHIMINI PEKEE.
Baadhi ya wadau hutaka kufanyiwa tathimini ya ramani zao au tulizo wachorea na kuwapa fundi wao wawajengee.
Kwetu Uvimo tuna tambua hili, na wadau wetu mwe huru kutumia fursa hii.
Kama Uvimo hatubaki na tumaini la kazi, kwako.
Tuna tathimini kwa shilingi 50,000/- na utahudumiwa kwa kushauriana kwa kipindi chote cha ujenzi wako .
Na hii unalipa baada ya kukabidhiwa ripoti ya tathimini.
2-TATHIMINI NA KAZI.
Endapo umenuia kujenga na Uvimo, basi, gharama za tathimini huondolewa na kubaki na tumaini la kazi.
Tuna tambua matapeli wapo ambao tunawafanyia kazi na hawatulipi na kuunda sababu au kuingia mitini, lakini Uvimo tumeendelea kuwahudumia wadau wetu walio wema kwa sababu hata sisi tumewekeza katika wema.
Wasiliana nasi kwa kwa huduma au kushiriki mijadala
0629361896 - Kupiga
0753927572 - WhatsApp
Uvimo >Nyumba bora kwa wote