Natafuta tv inch 40 ya kununua. Nipo Dar

zuujacob

Member
Dec 10, 2020
14
10
Nipo Dar, nahitaji flat screen inch 40, isiwe na tatizo lolote bajeti yangu ni 350,000/- ukiwa serious nichek
 
Nilinunua TV zanzibar LG32 " kwa 250k miaka kadhaa nyuma...nikajiona nime-win, kumbe tv inamatatizo yake, baada ya muda ilikuwa inajizima, nikaitengeneza alafu nikatafuta mpenda kitonga nikamuuzia...kuanzia hapo sinunui vitu vya electronics used
 
Kumbe?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom