House4Rent Karibu nyumba ya kupanga Nzuguni Dodoma

Mtanana

Member
Dec 13, 2016
90
178
Nyumba nzuri ya kupanga yenye vyumba 2(Kimoja ni master) ,Sebule kubwa ,choo cha public kwa ndani,Jiko kubwa na veranda lenye nafasi pande zote na iko ndani ya fence inapatikana eneo la Nzuguni jirani na uwanja wa CBE (Ni kama km 1 toka pale stand au kijiwe cha bodaboda Nzuguni).

Bei yake ni Tsh 350,000 kwa mwezi.Awamu za malipo ni kila baada ya miezi 3.Kwa anayehitaji apige 0629737373.

20211022_184006.jpg
20211022_183820.jpg
20211022_183754.jpg
 
Mie nitafutie nyumba chumba na sebule master. Jiko sio lazima iwe ndani ya fence. Eneo ni Mjini kati, Emaus, Ipagala, Meriwa mwisho Kisasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom