Nauza mashine za kutengeneza bati na kofia

selham

Member
Jul 17, 2011
55
45
Nauza mashine za kutengeneza aina mbalimbali za mabati na kofia. Machine ni mpya na zinafika Dar es salaam tarehe 23 April. Mashine ni hizi zifuatazo

CORRUGATED ROOFING MACHINE
ImageUploadedByJamiiForums1460131905.987614.jpg

Hii inatengeneza mabati ya migongo ya kawaida na bei yake ni 45m

IT4 MACHINE( BATI LA MSAUZI)

ImageUploadedByJamiiForums1460132450.933683.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1460132575.095866.jpg

Hii inateengeneza IT4 aka bati la msauzi bei yake ni 55m

SHEARING AND BENDING MACHINE

ImageUploadedByJamiiForums1460133246.180697.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1460133442.545924.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1460133482.216430.jpg

Machine hizi zinatengeneza kofia za bati bei za machine zote mbili ni 35m

MACHINE ZOTE ZITAFIKA 23/04/2016
BEI ZOTE ZIMEJUMLISHWA NA KODI
MACHINE ZIPO NYINGI NYINGINE NI ZA KUAGIZA
NAUZA PIA MATERIALS YA BATI
SOKO LA BATI NI KUBWA SANA NA HALIWEZI KUISHA VIWANDA NI VICHACHE KULIKO WANUNUZI NDO MAANA KUNA MABATI BADO YANATOKA KENYA, UGANDA, SOUTH AFRICA, INDIA NA CHINA

NAMBA YANGU NI 0685085378 KWA MAELEZO ZAIDI

NB: FANYA RESEARCH YA SOKO KWANZA NDO UNIULIZE MASWALI
 
Dah so mchezo, ukienda pale ALAF ukiangalia mitambo huwezi dhania kuna simple mashine za mil 35 zinaweza kusolve lobbying ya kusubiri order ya mabati, umeleta kitu kizuri sana, kama na material ya mabati unayo basi ww ni tajiri sema hujajifahamu vizuri, ntakutafuta tuone tunavyoweza ku modell hii biashara.
 
Pale ALAF unaweza kusubiri mwezi mzima kupata order yako. Pia bei zake zipo juu sana. Mimi nikikuuzia materials unaweza kuuza bati as low as tzs 21000 kwa bati yani 7000 kwa meter gauge 30. Na guarantee ya mabati ni 10 years. Hayapauko wala hayashiki kutu. Pia soko ni kubwa sana ndo maana nauza machines. Mimi nina kiwanda tayari mwanza
 
Uko vizuri mkuu.

Tunahitaji wadau wengi wa maendeleo kama nyinyi ili nchi isonge. Ishu ni mtaji na benki zetu si rafiki kwa wawekezaji wadogo na wandani. Nina imani walio tayari watachangamkia hii fursa. Mimi mpaka 2020!!!
 
Waswahili na nguruwe ni ndugu moja.
Mtu una mikioni 100 unaenda kununua gari la kutembelea, kumbe kwa hela hiyohiyo ungeweza kufanya kitu productive, ukatengeneza ajira kwa wa Tz, ukalipa kodi ukajenga taifa lako.
Napenda mawazo mapana kama haya
 
Daah. Samahani mkuu kwa swali hili kwanini usingeanzisha kiwanda kingine ukuze mtaji wako na Biashara yako? Au umeamua ku engage kwenye business ya kuuza hizo machines?
 
Ni kazi sana mkuu kuwa na viwanda mikoa miwili tofauti. Kiwanda kinaitaji usimamizi wa hali ya juu ukizubaa kidogo unaibiwa . Kwa sasa nauza machine na materials tu

Ninaweza kukusaidia kwenye Management system ambayo haitalazimu uwepo kwenye uangalizi kila wakati badala yake the money will be working for you mkuu and that is how you expand your business
 
Ninaweza kukusaidia kwenye Management system ambayo haitalazimu uwepo kwenye uangalizi kila wakati badala yake the money will be working for you mkuu and that is how you expand your business
Nimeshajaribu mkuu ni kazi sana. Im planning to expand ila next year sio sasa hivi
 
Pale ALAF unaweza kusubiri mwezi mzima kupata order yako. Pia bei zake zipo juu sana. Mimi nikikuuzia materials unaweza kuuza bati as low as tzs 21000 kwa bati yani 7000 kwa meter gauge 30. Na guarantee ya mabati ni 10 years. Hayapauko wala hayashiki kutu. Pia soko ni kubwa sana ndo maana nauza machines. Mimi nina kiwanda tayari mwanza
samahani mkuu kwa mwanza wapatikana maeneo gani?
 
Back
Top Bottom