Habari Wanajamii,
Natumaini mnaendelea vizuri na mihangaiko ya kutafuta ridhiki,
Nakuja mbele yenu kama Freelancer ninayotoa huduma zifuatazo:
1. Preparation of financial reports
2. Preparation of...
USED FROM UK VERSION
DELL LATITUDE 7420 "14 (2021)
3GHz Intel Core i7 4-Core (11th Gen)
16GB Of LPDDR4xRAM |256GB M.2 SSD
"14 1920×1080 IPS - Type WVA Display
Intergrated Intel Iris Xe...
Wataalam na mabingwa wa kutungeneza Mabango Tanzania, Logo, Posters, Flyers na uchapishaji (Printing).
Wasiliana nasi kwa 0762 399 650 kwa maelezo zaidi.
Habari zenu.
Kijana mwenye nishhati (energy) ya kufanya mauzo vituo maalum tutavyompangia na kudeliver kwa wateja wetu waliopo kwa bidhaa asilia za ngozi anahitajika.
Piga 0713 039 875 (Awe Dar...
wakuu, salam kama heading inavyojieleza wapi nitapata mbegu nzuri za mihogo kwa hapa Dar es Salaam zile aina ya kiroba naziitaji na pia na gharama zake?
Nauza mayai ya kienyeji tray @14,500. Niko Mwenge maeneo ya TRA. Ukihitaji kufanyiwa delivery, inawezekana na gharama zote ni juu yangu. Deliveryni kwa maeneo ya Dar.
Namba yangu 0621047282
Habari,
Natafuta chumba cha kupanga Kigoma mjini isiwe Ujiji wala uswahilini. Nitapendelea maeneo kama Kilimahewa,mjimwema,nazareth,maweni na viunga karibu na hivyo
Chumba self cha nje napendelea...
Inabeba Lita 4,500 na bado ipo kwenye hali nzuri. Bei 25 Milioni (Maongezi yapo).
Leo Juma Nne ukingoja January unaikosa hii.
Boss wa moto! Tufanye biashara....
Tucheki 0678275619.
#magariused...
Galaxy A12
4gb ram
64gb storage
Quad cameras
Fast charging
Battery 5000mah
Sided fingerprint
Simu bado mpya kabisa ina miezi miwili na nusu tangu niinunue dukani.
Bei ya ofa 290k kwakuwa...
Habari wadau,
Naitaji gari ya kununua kwa mtu.
Iwe Toyota IST.
Cc 1290 (isiwe zaidi ya hizo)
Isiwe imeguswa injini
Namba D ndio itapewa kipaumbele.
Siitaji dalali, sababu sina pesa ya...
Nyumba inauzwa Mbeya mjini, karibu na stand kuu ya Nanenane, nyuma ya hotel ya PM luxury hotel, kwenye eneo kuna nyumbaa kubwa moja, nyumba ya vyumba vitatu na nyumba ya vyumba viwili na parking...
Habari,
Gari Excellent Condition inauzwa
Nissan Murano - T879 DRW
In a good condition, Full Ac
Bei. - 10.5 M
Contact - 0685020831
Gari ipo Tegeta - Kibo Complex, unaeeza nipigia muda wowote...
Habari jf
Rejea kichwa cha habari hapo juu kama kuna mtu anauza sofa used zile ngumu zilizotolewa maofisin au majumbani nahitaji kununua , taja location na picha kama unazo itapendeza pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.