Uzi maalumu wa kuuza vifaa vya michezo jumla na rejareja

TheGodfather95

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
1,759
1,797
Wakuu salama

Nimeona thread nyingi humu zinapostiwa kuhusu biashara mbalimbali lakini hakuna biashara ya vifaa vya michezo. Mimi kama muuzaji wa vifaa vya michezo nimeona nije kusaidia watu wenye mahitaji ya vifaa vya michezo kupatikana kirahisi mkoa wowote.

Nitakuwa na deal na:
- Jersey za team zote (local na international)
- Ribon
- Gloves
- Viatu..... n.k

Napatikana Dar es salaam Sinza na Kariakoo.

Jersey ndio kama hizi ukihitaji ya team yoyote uliza

Contact info: 0714 036595

Bei za jersey zinaenda kutokana na quality.
- High Quality: Tsh 25,000 rejareja
- High Quality:Tsh 20,000 jumla
- Low Quality:Tsh 10,000 jumla
- Low Quality:Tsh 12,000 rejareja

428D2355-2EE1-4664-94BF-992D78C5D38B.jpeg
997D90F3-D95E-4F3D-A25D-0355464D64B4.jpeg
62CDD047-EB7D-4BDC-87ED-AA9BDE191273.jpeg
466D1DF3-8D3F-430F-BB7C-C77CF2068B7E.jpeg
4E43AE70-E837-460C-9691-2EEA163CD5F5.jpeg
DEB47385-5AF6-4D42-99F1-AF11C6BCBA30.jpeg
2771C7A8-59EA-47ED-AA5D-7D2E05EB61EF.jpeg
 
Back
Top Bottom