Nenda jukwaa la matangazo kuna madali wa kutosha kule wanauza magari. Hiyo mil. 3 ni pesa nyingi sana. Huwezi kukosa corolla, suzuki kei, vits au passo.husika na kichwa cha habari nina kama milioni tatu keshi hapa 3,000,000/= nahitaji usafiri wa kupigia misele hapa mjini mwenye nalo aje dm tuyajenge...location Dar