Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,633
- 6,563
Fursa pekee hii inawajia wale walioamua kumtukuza Bwana kupitia kwa vipaji vyao vya kuimba.
Kuna web series (show itakayokuwa inarushwa mitandaoni) iko katika hatua za mwisho kuanzishwa itakayokuwa inaonyesha vipaji vya waimbaji wa nyimbo za injili.
Show hii ina mambo makuu mawili:
SIYO LAZIMA UWE MZOEFU, TUNAKARIBISHA WAZOEFU NA HATA WALE WANAOANZA KIMUZIKI.
TAFADHALI sambaza taarifa hii na wajulishe wengine ili wawaoweza kufaidika nayo wafahamu.
Kwa mawasiliano na maelezo zaidi, simu namba 0762-688-222 au email info@natronstudios.com.

- Utafanyiwa mahojiano mafupi kuhusu maisha yako na malengo yako kimuziki.
- Utaweza kutumbuiza wimbo au nyimbo zako LIVE.