Plot4Sale Plot for sale at Kigamboni Mjimwema (Kibugumo)

The mgusi

JF-Expert Member
Feb 17, 2018
210
428
-kiwanja kipo kigamboni ,mjimwema kibugumo

-umbali kutoka main road ( barabara kuu ya rami ni 800 meter. ( kituo shule ya msingi kibugumo karibu na ofisi ya mkuu wa wilaya na mkurugenzi kigamboni.)

-ukubwa wa eneo ni 20m × 21m ( square meter 420)

Huduma ya umeme ipo karibu na site huna haja ya kuvuta nguzo.
Umbali kutoka fery ni km 9
Kiwanja changu mwenyewe hakina dalali
Bei milioni Tisa(9,000,000/=) ( negotiable)
Contact for serious buyer ( 0716805201/0692450861)

-document - sales agreement ( kiwanja hakina mgororo wowote )
 

Attachments

  • 20220527_173249253.jpg
    20220527_173249253.jpg
    1.8 MB · Views: 28

Similar Discussions

Back
Top Bottom