Pitia Hapa Kupata Huduma za Ufundi Bomba

lete rimoti

Senior Member
Aug 24, 2021
152
192
Wadau Plumbing Ni Group la Mafundi Bomba Wenye Ujuzi Kamili (FTC) Kutoka Vyuo Mbalimbali Nchini. Ikiwemo Veta na Donbosco.

Wadau Plumbing Tunajihusisha na Mambo Mbalimbali Kama;

1. Kusambaza Maji ndani Ya Jengo.

2. Kuzifanyia matengenezo Koki / Bilula.

3. Kufunga na Kufanya matengenezo Vifaa vya Usafi. (Sanitary Appliances) Kama Vile Masink, Showers,Vyoo vya kukaa, Flashing Tank n.k

4. Kufunga na Kufanya Matengenezo Mfumo wa Maji Taka.

5. Kuunga Vyuma (welding)

6. Kuchimba Visima na Kufunga Pampu, N.k

Tunauzoefu mkubwa wakufanya Kazi katika Miradi ya Serikali. Zikiwemo Shule na Hospitali.

Tunapenda Kuwatangazia Fursa Ya Kutengeneza Kipato Kwa Mtu Yeyote Atakayetuunganisha na Wateja. Commission Zetu Zinafika Hadi Asilimia 50%.
Kulingana na Kazi itakayotolewa.

Kwa Engineers/ Contractor Kazi Ya Milioni 1. Tutakuachia Laki 5. Tupo Tayari Kula Nusu Kwa Nusu nanyi.

Na Kwa wateja Wenye Nyumba na Mnahitaji Kuwekewa Mifumo ya Maji. Na Kufunga Vyoo, Masink na Showers (bomba la mvua)
Tunawakaribisha Kwa Ofa hii ya Punguzo la Nusu Bei.

Karibuni.
WhatsApp/ Call
0658 412 883

1431519966.jpg
 
Wadau Plumbing ni Group la Mafundi Bomba Wenye Ujuzi Kamili (FTC) Kutoka Vyuo Mbalimbali Nchini. Ikiwemo Veta na Donbosco.

Wadau Plumbing Tunajihusisha na Mambo Mbalimbali Kama;

1. Kusambaza Maji ndani Ya Jengo.

2. Kuzifanyia matengenezo Koki / Bilula.

3. Kufunga na Kufanya matengenezo Vifaa vya Usafi. (Sanitary Appliances) Kama Vile Masink, Showers,Vyoo vya kukaa, Flashing Tank n.k

4. Kufunga na Kufanya Matengenezo Mfumo wa Maji Taka.

5. Kuunga Vyuma (welding)

6. Kuchimba Visima na Kufunga Pampu, N.k

Tunauzoefu mkubwa wakufanya Kazi katika Miradi ya Serikali. Zikiwemo Shule na Hospitali.

Tunapenda Kuwatangazia Fursa Ya Kutengeneza Kipato Kwa Mtu Yeyote Atakayetuunganisha na Wateja.

Commission Zetu Zinafika Hadi Asilimia 50%.

Kulingana na Kazi itakayotolewa.

Kwa Engineers/ Contractor Kazi Ya Milioni 1. Tutakuachia Laki 5. Tupo Tayari Kula Nusu Kwa Nusu nanyi.

Na Kwa wateja Wenye Nyumba na Mnahitaji Kuwekewa Mifumo ya Maji. Na Kufunga Vyoo, Masink na Showers (bomba la mvua)
Tunawakaribisha Kwa Ofa hii ya Punguzo la Nusu Bei.

Karibuni.
WhatsApp/ Call
0658 412 883
 
Waswahili wanasema Huwezi Kula Bila Kukubali Kuliwa. Mtu Yeyote anaweza Kutengeneza mkwanja kupitia hii.
20220417_122008.jpg
 
Wadau Plumbing Ni Group la Mafundi Bomba Wenye Ujuzi Kamili (FTC) Kutoka Vyuo Mbalimbali Nchini. Ikiwemo Veta na Donbosco.

Wadau Plumbing Tunajihusisha na Mambo Mbalimbali Kama;

1. Kusambaza Maji ndani Ya Jengo.
2. Kuzifanyia matengenezo Koki / Bilula.
3. Kufunga na Kufanya matengenezo Vifaa vya Usafi. (Sanitary Appliances) Kama Vile Masink, Showers,Vyoo vya kukaa, Flashing Tank n.k

4. Kufunga na Kufanya Matengenezo Mfumo wa Maji Taka.

5. Kuunga Vyuma (welding)

6. Kuchimba Visima na Kufunga Pampu, N.k

Tunauzoefu mkubwa wakufanya Kazi katika Miradi ya Serikali. Zikiwemo Shule na Hospitali.

Tunapenda Kuwatangazia Fursa Ya Kutengeneza Kipato Kwa Mtu Yeyote Atakayetuunganisha na Wateja. Commission Zetu Zinafika Hadi Asilimia 50%.
Kulingana na Kazi itakayotolewa.

Kwa Engineers/ Contractor Kazi Ya Milioni 1. Tutakuachia Laki 5. Tupo Tayari Kula Nusu Kwa Nusu nanyi.

Na Kwa wateja Wenye Nyumba na Mnahitaji Kuwekewa Mifumo ya Maji. Na Kufunga Vyoo, Masink na Showers (bomba la mvua)
Tunawakaribisha Kwa Ofa hii ya Punguzo la Nusu Bei.

Karibuni.
WhatsApp/ Call
0658 412 883
20220415_164229.jpg
 
Tangazo lako limekaa vizuri ila mambo ya commission ungeyaondoa Kwenye bandiko lako.

Ni ushauri tu
 
Back
Top Bottom