House4Rent Nyumba nzima zinapangishwa Chanika kwa Singa na Pugu Kigogo fresh, kodi kwa mwezi tshs 100,000/=

yakobo11

JF-Expert Member
Aug 10, 2016
510
736
Habari za mwaka mpya ndugu zangu ma GT.
Leo nawaletea habari nzuri, kuwa nina nyumba 3 nazipangisha KODI kwa mwezi ni shilingi 100,000/= tu.

Pia jinsi gani ya kilipia Kodi yako ya mwezi utachagua mwenyewe, kama ulipie kila mwanzo wa mwezi kwa mwezi mmoja mmoja, au kwa miezi utakayotaka kulipia. Hizi nyumba zina umeme wa Luku, zina vyumba 2, choo, jiko, sebule, na maeneo makubwa ya kujinafasi.

Nyumba 2 zipo maeneo ya Chanika kwa Singa, na Nyumba moja ipo Pugu Kigogo Fresh.

Nyumba zipo katika maeneo mazuri ambayo hayajai maji hata mvua ikinyesha siku mbili mfurulizo.

Magari yanafika bila tatizo, maana kuna barabara.

Kwa mawasiliano kwa atakayekuwa tayari kupanga kwenye nyumba moja wapo .

Wasiliana kwa namba hii- 0755 335321.

Au 0683 949198.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za mwaka mpya ndugu zangu ma GT.
Leo nawaletea habari nzuri, kuwa nina nyumba 3 nazipangisha KODI kwa mwezi ni shilingi 100,000/= tu!
Pia jinsi gani ya kilipia Kodi yako ...


Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndiyo nyumba yenyewe, ni 2 in 1 kila upande una Luku yake.

IMG-20190518-WA0014.jpeg
IMG-20190515-WA0007.jpeg
IMG-20190518-WA0008.jpeg
IMG-20190518-WA0018.jpeg
IMG-20190518-WA0006.jpeg
IMG-20190518-WA0003.jpeg
IMG-20190518-WA0008.jpeg
IMG-20190518-WA0024.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom