Natafuta Internet (ISP) yenye kasi ya 20MBps KIMARA.

Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,708
1,553
Habari natafuta Internet service providers wazuri wenye speed kuanzia 20MBps na kuendelea wanaopatikana kimara. Asanteni
 
Vodacom wana huduma inaitwa Supakasi,
Au Kuna jamaa wanaitwa SimbaNet
 
Vodacom wana huduma inaitwa Supakasi,
Au Kuna jamaa wanaitwa SimbaNet
Aisee Vodacom Walikuja kufanya Survey ikaonekana eneo halina Network yao. Hao SimbaNet Speed yao ni 3 Mbps, na ninayohitaji walao ianzie 20MBps
 
Aisee Vodacom Walikuja kufanya Survey ikaonekana eneo halina Network yao. Hao SimbaNet Speed yao ni 3 Mbps, na ninayohitaji walao ianzie 20MBps
Tunapimaga speed kwa Mbps na sio MBps

1MBps = 8Mbps

Kwasababu umeonesha kujua tofauti kati ya hizo mbili katika maandishi yako, unataka ISP akupe 20x8 = 160Mbps

Kila la kheri mkuu
 
Habari natafuta Internet service providers wazuri wenye speed kuanzia 20MBps na kuendelea wanaopatikana kimara. Asanteni
VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi

Please check me on
WhatsApp/Call/Sms 0656946198.
For more information
Y'all welcome
 
Back
Top Bottom