House4Sale Boma linauzwa Kichangani Tanga

Namche Bazar

Senior Member
Apr 8, 2019
105
152
Heshima kwenu!

Boma pichani linauzwa lipo Kichangani,Tanga mjini umbali wa takribani 15km toka katikati ya jiji la Tanga.
Ukubwa wa eneo ni mita 15X20

Boma lina vyumba 7 vyote vina vyoo vyake ndani,pia kuna choo cha public.

Umeme na.maji vipo site (havijaunganishwa kwenye boma)

Boma linauzwa kama lilivyo pichani.

Bei 18 milioni.

Mwenye uhitaji njoo PM.

IMG-20220629-WA0139.jpg
IMG-20220629-WA0139.jpg
IMG-20220629-WA0143.jpg
IMG-20220629-WA0144.jpg
 
Kichangani, saruji, majani mapana, kange, maweni,kaka unaonekana wakuja sio mwenyeji wa Tanga,maana mwenyeji wa tanga hwezi ita hilo ni boma. Any way kwa mahala lilipo hilo boma, naona kdogo bei ipo juu ukizingatia upo karb na Tanga cement hapo, shuka mkuu mpaka milion 9
 
Kwa hiyo kama Boma lipo karibu na Tanga cement una maanisha bei ya cement itakuwa chini?
Unajua mfuko mmoja wa cement unauzwa kiasi gani hapo Kichangani?
Haya tuambie wewe mwenyeji wa Tanga hilo boma unaliitaje?
Boma lilo Kichangani jirani na Maweni umbali wa takribani 15 kilometa toka katikati ya jiji la Tanga.Sehemu tulivu kabisa.
 
Kwa jins ya picha ulivyoipga, sisi wenyeji tunaita "banda la uani " ww unaonekana mtumishi au unataka kuhama mji,halafu mzawa wa Tanga asilia hawez kukaa kichangani,huko wanakaa watumishi au watu waliokuja kutafta maisha tu.kuhusu garama za ujenzi tanga ni rahisi mnoo, shusha kijana acha kuvimba, watataga njiwa xx hv hapo
 
Kichangani, saruji, majani mapana, kange, maweni,kaka unaonekana wakuja sio mwenyeji wa Tanga,maana mwenyeji wa tanga hwezi ita hilo ni boma. Any way kwa mahala lilipo hilo boma, naona kdogo bei ipo juu ukizingatia upo karb na Tanga cement hapo, shuka mkuu mpaka milion 9

Kwa jins ya picha ulivyoipga, sisi wenyeji tunaita "banda la uani " ww unaonekana mtumishi au unataka kuhama mji,halafu mzawa wa Tanga asilia hawez kukaa kichangani,huko wanakaa watumishi au watu waliokuja kutafta maisha tu.kuhusu garama za ujenzi tanga ni rahisi mnoo, shusha kijana acha kuvimba, watataga njiwa xx hv hapo
Sawa nenda kampe hiyo milioni 9 unayotaka uchukue banda la uwani.

Tanga ujenzi rahisi kwa kitu gani hebu tuambie na sisi wengine tujue maana tunaishi Tanga hiyohiyo lakini tunaona gharama za ujenzi ni sawa na maeneo mengine kama Morogoro,Iringa nk.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom