Lipia 130,000/- Tu! Uaanze Biashara ya bidhaa za kitalii
Unapata bidhaa hizi zote ukaanze biashara.
Kwa retail price hizi bidhaa zinathamani ya zaidi 260,000/- lakini utalipia 130K Tu...
Habari wakuu,
Computer yangu aina ya toshiba settilite core i7 ram 8 hdd 500 imedondoka na kioo kimepata clerk ni zile za Touch screen na kugeuza unaweza kutumia kama tablet pia sjui wanaita...
Habari tunatoa huduma hizo zifuatazo kwenye posters
Tuna offer ya Rollup banner
Base ndogo ikiwa ni tsh 165,000
Base kubwa ikiwa ni sh 220,000
Tupo ursino street 28, Mikocheni
Kwa simu piga...
Naomba ramani ya chumba kimoja cha futi 12kwa 16 huo ni ukubwa wa chumba tu kiwe na choo na seble nadhani nimeeleweka .
Ukubwa wa chumba futi12 kwa 16
Ukubwa wa choo futi 4 kwa 8
Ukubwa wa sebule...
Habari, zingatia kichwa habari, ndugu nauza chaser avante vvti engine ipo kwenye hali nzuuri sana. gari ina engine na gear box original, kabla ya kutaka kuuza nimepiga rangi mkono mmoja, sports...
Habari Wakuu!
Naomba kupata Uzoefu wenu, aina gani ya Gold Detector ambayo imekupa matokeo Mazuri....!?
Iwe ni Detector ya Coil au high range detector...!
NB.
Binafsi nahitaji Detector kwa...
MUHIMU SOMA🌴🌴🌴🌴🌴
HELLO HABARI YA MUDA HUU BOSS WANGU,
JE UMETUMIA KILA MBINU LAKINI HUPATI WATEJA WA KUTOSHA KATIKA BIASHARA YAKO?
Basi leo malaika wa Mungu huenda amenileta hapa kwaajili yako...
Tunamalizia ushindi wa Simba na sherehe za 8-8 kwa kukuletea chuma kali kwa bei mtelezo
Toyota Chesa hyoo ipo posta DAR full Ac Tair Safi bei imepoa mil 3 top njoo chap 0713-096-076
Wahi chap...
Kontena la ft 20 linapangishwa....lipo kando ya barabara ya lami( inaangaliana na barabara) mabibo Makutano.
Kodi 90000 kwa mwezi.
Linafaa kwa matumizi ya biashara mbalimbali mf duka...
Ukienda Instagram andika
"Masama home design" ni kampuni ya kitanzania inahisika na kusanifu majengo ya kisasa, ujenzi na interior design, mimi binafsi sijaona bado kampuni Tanzania zaidi ya hii...
Ndugu wanajamvi.
Naitwa Saidi mkazi wa Pugu wilaya ya Ilala mkoa wa Dar es salaam natafuta gari ya abilia haice kwa ya kubebea abilia wilaya ya kisalawe kutoka kigogo sokoni kwenda msanga mpaka...
Wadau,
Nitaji kupata kwa wingi na kwa bei ya jumla sabuni za magadi (pichani), kama unajua chimbo au unauza kwa bei nzuri naomba ni pm. Pia natafuta watu wenye ujuzi wa kutengeneza sabuni hizi.
Tumbo linahitaji Chakula ili uweze kuishi hivyo hivyo Ubongo unahitaji Chakula ili uweze kufikiria vyema.
Imalisha afya yako ya Ubongo/Akili kwa kusoma vitabu vitakavyobadirisha maono yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.