Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

[emoji599]SABASABA OFA[emoji599] Pikipiki bure...! PJA PROPERTY DEALERS tunafahamu kwamba unahitaji kiwanja na sasa Sabasaba hii hatukupi kiwanja peke ake bali tunakupa na kiwanja iliyosheheni ofa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hellow! Waungwana! Kuna kitanda kinauzwa hapa. Bei 100k. Mawasiliano. 0768665231.
0 Reactions
2 Replies
791 Views
Tsht 65000
0 Reactions
3 Replies
633 Views
Kama unamiliki kampuni Iliyosajiliwa na una website yeyote ya mauzo mtandaoni. Unaweza ukaendelea kusoma. Kwa wale wenye website tunajua kuwa, tatizo kubwa lililopo kwa sasa ni mfumo wa malipo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za leo! Nauza simu yangu halali na mteja atapatiwa risiti halali,nimekwama mahala naona simu yangu sasa inaweza kunisaidia kujikwamua. Name: TECNO POP5 PRO. Ram:2 GB:32GB. KIPENGELE:HAMNA...
0 Reactions
0 Replies
454 Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa mbali sana na kuona ni jinsi gani siku za karibuni USD haitakuwa tena reserve currency ya duniani. Kuna mipango mkakati wa iliyonyuma ya IMF kufanya SDRs (Special Drawing...
1 Reactions
6 Replies
893 Views
Tunatoa huduma ya usindikaji samaki kisasa, samaki Hawa husindikwa kwa kutumia machine niliyotenegeza hapahapa Tanzania. Machine yetu hutumia umeme na gas na samaki huchukua masaa saba...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Tunauza miti (mirunda) Kwa ajili ya ujenzi wa magorofa , nyumba za kawaida au matumizi mengine tuna mirunda takribani 900 PCs bei yetu ni nafuu sana Mawasiliano. sangmelina85@gmail.com
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta CHUMBA hapo Mbagala bei kuanzia 50000 hadi 70000, toi iwe ndani vipi nitapata?
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wenzangu mnaopenda kupendeza, natafuta sana kiatu cha vans cha mtumba, maana bei yake kutoka nje naona ya moto sana siwezi kufika. Kama kuna anaweza kunisaidia kupata vans namba 39 ntashukuru sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau salama. Naomba kujua ni mtaa gani Kariakoo wanakouza baiskeli hasa hasa za watoto. Au kama sio Kariakoo, sehemu nyingine ambapo zinapatikana kirahisi. Asanteni
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habarini wakuu. Ninahitaji gari kati ya IST na Spacio. Budget yangu ni 7 Sihitaji dalali, nataka niwasiliane na mmiliki moja kwa moja. Asanteni.
0 Reactions
5 Replies
547 Views
We are NEW DOUBLE OCEAN LOGISTICS COMPANY LTD, a registered and licensed clearing and freight forwarding company in Tanzania. We provide cargo and car clearance from dar es salaam port and other...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Maelezo zaidi Engine 4D (33-35) Spring iwe juu Gari iwe kwenye hali nzuri. Bei 19m (negotiable kidogo) Check me pm
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nina hadithi yangu ya kijasusi inayo enda kwa jina la ULIMWENGU WA WATU WABAYA, ni miongoni mwa hadithi bora sana kuwahi kuandikwa nchini Tanzania. Nicheki kwa namba 0621567672 WhatsApp au kupiga...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Simu aina ya spark 7 inauzwa sh. 165,000/= Ina miezi minne tu, Toka inuniliwe risiti IPO karibu sana 0783755971
0 Reactions
6 Replies
771 Views
Fahamu Cement zinazozalishwa Tanzania na ambazo zipo sokoni. Nitaeleza Kwa ufupi na sitaenda kitaalam kiundani Kwa faida ya wengi. Cement zipo za aina nyingi Tokana na, 1: Material...
2 Reactions
18 Replies
7K Views
Makubaliano kati ya mpangaji na mwenye nyumba ni jambo muhimu sana kufanyika. Makubaliano kati ya watu hawa wawili ndio muongozo wa mahusiano, na jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
E-PHARMACY MANAGEMENT SYSTEM (EPMS). 8 MODULES 1. Dispense 2. Products 3. Stocks 4. Purchase order 5. Users 6. Adjustment 7...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Back
Top Bottom