Nahitaji Engine ya gari aina ya Toyota

Yupo very wide,,,,sawa sawa na mtu aseme ninataka kiatu,, mwenye nayo aniuzie,,hapo hajasema size,open shoes,kama used au mtumba au boot au short neck yan inabidi ajazie nyama nyama
Engine labda anamaanisha mtarimbo
 
Ndugu nahitaji engine ya Toyota used km wew ni dealer naomba tuwasiliane niko Shinyanga mjini. Aksante
FBDA503E-65DD-4713-B8C2-1EA0D236FFB8.jpeg
 
Ndugu nahitaji engine ya Toyota used km wew ni dealer naomba tuwasiliane niko Shinyanga mjini. Aksante
Aisee Ngosha, andika basi na model ya hiyo gari. Kuna magari mengi aina ya Toyota!

Mfano Toyota townace, Toyota Corolla Toyota Premio, Toyota Raum, Toyota landcruser, Toyota Prado, Toyota Sienta, Toyota Vits, Toyota IST, Toyota Rush, Toyota mark II, Toyota Hilux, na nyinginezo nyingi!

Na zote hizi zina injini.
 
📢📢📢Mwenye injini ya toyota akuje uku chap kuna hela yake ngosha kauza mang'ombe
 
Aisee Ngosha, andika basi na model ya hiyo gari. Kuna magari mengi aina ya Toyota!

Mfano Toyota townace, Toyota Corolla Toyota Premio, Toyota Raum, Toyota landcruser, Toyota Prado, Toyota Sienta, Toyota Vits, Toyota IST, Toyota Rush, Toyota mark II, Toyota Hilux, na nyinginezo nyingi!

Na zote hizi zina injini.
Crown 4GR
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom