Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nyumba ni mpya kabisa hajakaa mtu, ina vyumba sita, sebule na fremu ya nje, ina fence, vyumba vitatu ni masters, inaweza ku accomodate familia mbili. Umeme maji ni uhakika, ipo barabarani...
0 Reactions
6 Replies
645 Views
Nahitaji mtu atayeniwekea Game za PC Call Of Duty Need For Speed GTA American Truck nk Anipe na Cost yake. Nipo DSM
0 Reactions
1 Replies
753 Views
Habari Ninatafuta toyota VITS ya kununua Mil 3.Mwenye nayo anipm,nipo Ifakara Mjini.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Natafuta mtu wa kuniuzia mashati meupe mikono mifupi ya wanafunzi(pure cotton)Aina ya tomato) kwa Bei ya jumla nipo Kilombero,0652393263
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwa wakazi wa Dar ambao wanahitaji huduma zinazohusu ardhi au ushauri kuhusiana na maswala ya ardhi/majengo msisite kunitafuta. Ninatoa huduma zifuatazo: - Kufatilia zoezi la utoaji wa...
13 Reactions
53 Replies
5K Views
Ni Pm au mcheki huyu jamaa whatsapp. 0759522257 Pia kuna hizi softcopies. Kwa Tsh 2,000 hadi 4,000 utapata softcopies za vitabu hivi. Whatsapp namba 0759522257. Pia kuna bonasi ya vitabu kama...
2 Reactions
44 Replies
6K Views
Karibuni katika maonyesho ya nanenane Dodoma. Tuna matrekta aina ya Lovol kuanzia HP25-HP90 2wd/4wd Tunauza kwa mkopo na cash. Kwa mswali zaidi piga/tuma msg namba upewe maelekezo zaidi 0717217520
0 Reactions
3 Replies
657 Views
Kin'gamuzi Cha Startimes kinauzwa, kipo na antenna yake pamoja na waya wake, Bei TSH 40,000 napatikana Pugu Kigogo Fresh, DSM, Mawasiliano 0625579184 Sent from my Infinix X657 using JamiiForums...
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Nahitaji kujua wanakopatikana samaki aina ya kibua au samaki wengine wa baharini mkoani Mwanza, daktari amependekeza nitumie mboga hiyo kuimarisha afya. Tafadhali kama unajua wanakopatikana...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Ondoka na hii Toyota Rumion 2007 ✅CC 1490 ✅2WD ✅Black Mettalic ✅ Automatic ✅Utumiaji wa Mafuta 16.2km/l ✅Bima bure(Third party) ✅BEI:17M Pamoja na usajili LIPA 5M Gari ikifika malizia ama lipa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nahitaji hicho kioo mwenye nacho njoo tuyajenge
0 Reactions
1 Replies
458 Views
Natoa huduma ya clearlence kwa mizigo,pamoja na magari kutoka duniani kote,kwa haraka na kwa bei rafiki kabisa kwa maelezo Zaidi tupigie: +255710323599 au +255679132109
0 Reactions
1 Replies
821 Views
Generator engine .
0 Reactions
0 Replies
390 Views
Nauza Printer Epson L805 imetumika mwaka mmoja tu. Inaprint sticker na picture vizuri na haibaguwi karatasi. Pia inaprint CD. Printer hii haina tatizo lolote kabisa. Inapatikana Mwanza Nyamagana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Shamba lipo Dakika 10 kutoka Barabara kuu linafikika kwa Gari na Miguu Lipo opposite na Serikali za Mitaa za Fukayosi. Huduma za kijamii zipo Linafaa kwa Kilimo na Makazi. Bei ni 1,500,000...
2 Reactions
54 Replies
8K Views
Habari Wakuu, Nimesafiri Mbeya kikazi, Nina uchovu wa safari manake nimesafiri na private car. Hivi hapa Mbeya kuna sehemu naweza pata huduma ya massage yaani ile hot massage na mabinti warembo...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Shamba lipo fukayosi Bagamoyo.. lilikuwa la mananasi msimu uliopita na linatoa mananasi mazuri sana. Lipo Fukayosi Bagamoyo - km 10 kutoka Bagamoyo road, shamba lina heka 15. Document zote za...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Karibuni sana wakanda solutions| Tunadesign business card nzuri Kwa bei nafuu. 12,000/=Tsh kudesign business card yako nzuri itakayotofautisha biashara yako na ya watu wengine 25,000/= kuprint...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamii.Kwa yeyote anaye fahamu kama kuna shamba au pori linauzwa kati ya Kiwangwa na Msata anijulishe
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Habari wadau,natafuta toyota vitz ya kununua ya mil 3.Mwenye nayo ani PM. Nipo Ifakara,Morogoro
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Back
Top Bottom