Habari zenu
Najua hapa jf Pana wengi ikiwemo wenye nyumba na wenye taarifa kuhusu nyumba.
Inatafutwa nyumba ya Vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko na choo. Mitaa iwe ya barabara ya mbezi...
Natumai wanajamiiforum mko pia kabsa natanguliza shukran. Naomba kufahamu office za FedEx dar es salaam zinapatikana wapi I mean full address na km kuna namba zao pia naomba
🙏🙏
KIWANJA KINAUZWA, MBWENI DARE SALAAM
SIZE: 25m*25m
dakika 5 kutoka Bagamoyo Road
Miundombinu yote ipo na kumeshajengeka sana
Bei 8.million (milioni 8 tu za kitanzania)
Mawasiliano 0713096076
Watu wa Mungu!
Mwenye kuuza Gypsum board ambazo ni reject (zinakuwa na dorari ndogo ndogo sana) naomba aje na offer yake.
WhatsApp 0656142433
Calls/Sms 0689629763
Tunachora Ramani za nyumba za kisasa kwa ajili ya kuchukulia kibali za ujenzi manispaa kwa bei nafuu sana
Tunakufikia mikoa yote Tanzania
Wasiana nasi leo kwa simu / whatsapp 0717 040 837 au 0767...
Kama kichwa kinavyosema used engine kutoka Dubai, inaweza kufanya kazi kwenye nissan sunny, nissan match na nissan saloon inauzwa iko complete na gearbox yake mwisho Engine haijawahi kutembea hapa...
Maelezo Kwa Kiswahili
Habari njema kwa wafanyabiashara mliokuwa mnapata changamoto juu ya namna bora ya kusimamia biashara zenu.
Adiuta Business Assistant ni Mfumo unaokusaidia kusimamia fedha za...
Habari samahan sana kwa kutumia muda wenu lakin nianaombi moji ambalo no ufadhili wa masomo ya diploma kwa mwaka wa masomo 2022/2023.
Naitwa Frank Mabula juma nikijana mwenye umri wa miaka 21...
Habari wakuu,
Naomba mwenye kuuza bidhaa tajwa hapo juu aniambie anauza bei gani kwa kilo na yapo mahali gani. Lengo ni kufanya tathmini kisha kuanza biashara hii rasmi hivyo nikiwa na mtu mwenye...
Vitz new model in good condition
Bei yake 6million (njoo na laki 2 ya dalali)
x'tics
cc 1290
mileage: 100,000kms
piston 3
haijawahi pata ajali
LOCATION: Lugalo, Dar es salaam
mawasiliano...
Kufungiwa ac ni bure
Pipe ni bure 3 mtrs
Bracket ni bure
Ukubwa wa eneo na size ya AC
3×4 mtrs = 9000btu/1 HP
4×5mtrs = 12000btu/1 na robo hp
5×7mtrs =18000btu/1 na robo hp
7×9mtrs = 24000btu/2hp...
Habari zenu ndugu zangu. kwa yeyote anaejua sehem nzuri na yenye usalama mkubwa ambapo naweza acha gari yangu kwa mda mrefu kwajili ya kufanya ukarabati wa board na kupiga rangi.
Gari ni IST New...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.