Fuqin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 306
- 629
Mimi nipo Mwananyamala kibiashara nafkiria kutafuta kiwanja maeneo ya Tegeta au karibu na Tegeta ili nifanye makazi lakini sijawahi kufika nasikia tu Tegeta... na nimeangalia kwenye google map kuna umbali wa km 17 tu.
Yaani sitaki umbali wa zaidi ya Km 20 kutoka kazini kwenda nyumbani.... nimejipanga milioni 10 hadi 15 mwisho kama kuna wazoefu humu au wenyeji wa huko tupeni madini kuhusu maeneo ya huko...
Kwa kumalizia nina kiwanja kigamboni lakini naona ni mbali km 27 halafu njia ya huku kuna foleni sana cose ndo katikat ya mji nafikiri njia ya mwenge tegeta itakuwa hakuna jam ya magari.