Natafuta soko la mahindi lishe (mahindi ya njano)

Natafuta soko la mahindi lishe (mahindi ya njano)

NOSVELA

Senior Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
198
Reaction score
27
Wakuu natafuta soko la mahindi lishe yale mahindi ya njano(mahindi ya yanga) yapo tani moja nipo Dodoma, cont. Zangu ni 0621048817
 
Toa bei Mkuu wengine ndio chakula chetu
 
Back
Top Bottom