Je unaitaji kujifunza kuogelea au una mtoto ungependa ajifunze kuogelea

Caoch Abel

Member
Feb 5, 2019
20
5
photo-output.jpg

Je wajua kuogelea kunaboresha afya na ni ujuzi mzuri maishani pia ni burudani ,
Karibu msajili mwanao kwenye darasa la kuogelea kipindi iki cha likizo darasa litaanza tarehe 30july-9Sep
Location
Lamada hotel ilala
Tabata kimanga
Mbezi beach
Upanga
Vyeti Vitatolewa kwa washiriki wote
Sajili sasa
Whatsapp 0712547412
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom