Nauza mitego ya mbuu

Nauza mitego ya mbuu

madindigwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
2,498
Reaction score
2,927
Tunauza mitego ya mbu iko poa huna haja ya kuweka dawa Tena. Au kutumia net inafaa hata mahotelini sio kununua dawa kila siku bei ni 85000 karibun sana tupo Kariakor msimbaz piga simu 0785970087/0712525280View attachment 2297823

IMG-20220720-WA0045.jpg
 
Maelezo hayajitoshelezi.
Mtego unafanyeje kazi?naona ni Wa Umeme je ni watt ngapi kifaa?
Mtego inauwezo wa kufanya kazi nyumba yote?au chumba kimoja tu?
 
Back
Top Bottom