Natoa huduma ya clearlence kwa mizigo,pamoja na magari kutoka duniani kote,kwa haraka na kwa bei rafiki kabisa kwa maelezo Zaidi tupigie: +255710323599 au +255679132109
Nauza Printer Epson L805 imetumika mwaka mmoja tu. Inaprint sticker na picture vizuri na haibaguwi karatasi. Pia inaprint CD. Printer hii haina tatizo lolote kabisa. Inapatikana Mwanza Nyamagana...
Shamba lipo Dakika 10 kutoka Barabara kuu linafikika kwa Gari na Miguu
Lipo opposite na Serikali za Mitaa za Fukayosi.
Huduma za kijamii zipo
Linafaa kwa Kilimo na Makazi.
Bei ni 1,500,000...
Habari Wakuu,
Nimesafiri Mbeya kikazi, Nina uchovu wa safari manake nimesafiri na private car.
Hivi hapa Mbeya kuna sehemu naweza pata huduma ya massage yaani ile hot massage na mabinti warembo...
Shamba lipo fukayosi Bagamoyo.. lilikuwa la mananasi msimu uliopita na linatoa mananasi mazuri sana.
Lipo Fukayosi Bagamoyo - km 10 kutoka Bagamoyo road, shamba lina heka 15.
Document zote za...
Karibuni sana wakanda solutions|
Tunadesign business card nzuri Kwa bei nafuu.
12,000/=Tsh kudesign business card yako nzuri itakayotofautisha biashara yako na ya watu wengine
25,000/= kuprint...
Kama unahitaji kuku wa kienyeji wa nyama au wa kufuga basi, suluhisho liko hapa kwa Big Feed Store.
Kuku wanaanzia 8,000/= hadi 30,000/=
Wasiliana nasi kwa 0742870916.
Karibuni sana.
Kama unahitaji home tuition kwa mwanao kwa masomo tajwa hapo juu basi upo mahali sahihi. Nakuja nyumban kwa maeneo yote ya Karibu na Kimara, Mbezi, Ubungo, Kawe mpka Tegeta na Bunju, Masaki...
Kununua nyumba ya uwekezaji linaweza kuwa jambo rahisi sana wakati ambapo una mtaji fedha wa kutosha kununua nyumba unayotaka. Lakini kuuza nyumba ambayo huitaki inachukua miezi mingi mpaka miaka...
Habari, Nauza kiwanja Cheney hati miliki kipo kibaha picha ya ndege km 2 kutoka barabara kuu na kiwanja kipo barabarani kabisa . Ukubwa 1026 sqm, bei 12,000/= per sqm na huduma za jamii zote zipo...
Habari zenu wapendwa?
Naombeni msaada, mimi ni mfugaji wa Kuku wa nyama namshukuru Mungu najitahidi na napata matokeo mazuri Kuku ni wakubwa wanaridhisha,
Tatizo langu ni kupata soko zuri/wateja...
Habari wana jamii forum
[emoji830]︎Je hapo ulipo ni kiasi gani unaathirika uwepo wa maji na unatafuta njia bora ya kupata maji mengi ili uweze kutumia kwenye matumizi ya shambani na nyumbani...
Karibu tuongee.
Jiunge na mjadala wa kuendesha biashara yako kwa mfumo wa digital kupitia smartphone yako kiganjani.
Sisi hapa tunatoa application ya simu inayosaidia wafanyabiashara kutunza...
Huna haja ya kuwaza umeme kukatika kwani saan agency tumekuja na suluhisho kwaajili yako. Tutakufungi backup system nyumbani au ofisini kwako kwa teknolojia Bora na salama
Unaweza ukajiuliza...
MNYAKI NATURE CIVIL WORKS ni wataamu wa kufanya finishing iliyo Bora na kwa bei nafuu. Kazi zetu ni;
1. GYPSUM DESIGNS
Hapa unafanyiwa kila aina ya Dari na kukufanya ufurahie chaguo lako
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.