Natafuta Shamba Kiwangwa au Msata

Natafuta Shamba Kiwangwa au Msata

Donkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
1,499
Reaction score
1,585
Wanajamii.Kwa yeyote anaye fahamu kama kuna shamba au pori linauzwa kati ya Kiwangwa na Msata anijulishe
 
Kuna Mashamba huwa yanauzwa na makampuni haya huwa ni Salama japo bei huwa juu pia uruhusu kulipia kwa awamu hata zaidi ya mwaka.Unaweza jaribu hayo,au nenda eneo husika kutana na wakazi wa kule waelezee shida yako,watakuonyesha mashamba ukiridhika,rudi kinyume nyume siku nyingine kuwapeleleza tena uhalali au uaminifu wa waliokupeleka na umiliki halali wa maeneo hayo.
 
Msata naweza kukunganisha na mtu na ukapata shamba.nasi tunalo huko
 
Kuna Mashamba huwa yanauzwa na makampuni haya huwa ni Salama japo bei huwa juu pia uruhusu kulipia kwa awamu hata zaidi ya mwaka.Unaweza jaribu hayo,au nenda eneo husika kutana na wakazi wa kule waelezee shida yako,watakuonyesha mashamba ukiridhika,rudi kinyume nyume siku nyingine kuwapeleleza tena uhalali au uaminifu wa waliokupeleka na umiliki halali wa maeneo hayo.
Sawa.je makampuni gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom