Wakuu, Jipatie Movies zako pendwa na Series.
🍿 MOVIE 1 - Tsh 1,000
🍿 MOVIE 7 - Tsh 5,000
🍿 MOVIE 15 - Tsh 10,000
💫SEASON 1 - Tsh 2,000
📍 Delivery In Dar 🛍
banda kubwa zuri la bati linauzwa bei 280,000 tu maongezi kdg yapo halina tatizo lolote!lipo kigamboni linahamishika kama unalihitaj nipigie 0653110660
Leo tunatoa ofa ya usajili wa Kampuni au jina la biashara kwa punguzo la 60%. Ofa hii itaisha ndani ya siku tatu. Popote ulipo huduma hii itakufikia, karibu tukuhudumie.
Wasiliana na kwa simu...
Goodmans HD Projector UK Brand
Model : 363566
Full HD Projector 1080p✅
2000 LUMEN Led ✅
Built in Speakers✅
2 HDMI input + VGA✅
USB (Flash pamoja na SD Card)✅
Bluetooth (Unaconnect kwenda...
Wadau naomba msaada, nahitaji kuwa nanunua mbuzi wengi kwa wiki katika mnada wa mbuzi Vigwaza.
Mwenye uzoefu wa siku zipo kuna mnada na bei zake.
Natanguliza shukurani!
PS3 yangu imepata hitilafu.
Naskia kuna mafundi wananunua PS3 mbovu ndio maana nimekuja hapa.
Ilikuwa inafanya kazi vizuri toka nilipoizima jana (27/07/22). Ila sasa leo nimeamka niiwashe...
Wadau mimi ni mpenzi wa ujenzi sana ningependa kwenye huu uzi tujadili mambo mbali mbali na gharama na mitindo mbali mbali ya ujenziii.....
Tuanze na hii nimependa sana huu ujenzj wataalamu...
Kutoka kwa Yericko
Habari njema kwangu na kwa Watanzania nikuwa Kitabu chetu pendwa cha Ujasusi baada ya kuingia makubaliano na kampuni ya Kindle Publishers ili wauze kitabu kupitia amazon.com...
PRICE:5.8 M
MODEL:Starlet Glanza ep91
ENGINE: 4e fe 1331cc
YEAR;2002
TRANS: Atomatic
Push to start keyless entry
Underseat subwoofer
Sports rims
Spare tyre wheel...
Nauza subwoofer ya Gari. Imekuja na Gari. gari ina mziki mkubwa sana naiondoa.
inakuja pamoja na waya wake wa kufungia
Ina mziki mzuri sana. ukiwa na hii Huhitaji kujaza buti zima mamitungi...
Tunatoa Huduma za kukusaidia kupata wateja kama una mali unauza ama unataka kupangisha ndani ya jiji la Dodoma.
Pia Tunauza na kukusaidia kukupangisha.
Nyumba, vyumba vya makazi ama biashara...
KILIMO NI BIASHARA
POWER TILLER OR WALKING TRACTOR
BRAND SHAKTI MADE IN CHINA LAKINI IMEDIZIINIWA KWA SOKO LA INDIA .
Hii ni nzuri sana kwa kulima,kupalilia,kuengeneza matuta nk.ina matairi ya...
TUNAUZA NG'OMBE WA #MAZIWA (#DAIRY #CATTLE)
Hawa ni Ng'ombe wa #maziwa wapo wanao kamuliwa lita 10 - 24 kwa siku wapo na #mitamba
simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 765 291 489
+255 625 994...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.