Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu naomba mniungishe nauza jeans za kiume kwa bei Chee good quality kwa jumla pia unapata 0753057000
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Kichwa cha habari kinajieleza. Natafuta Nike Air Jordan ndefu. Najua Original siwezi bei au ata kuipata ikawa changamoto lakini angalau inayoendana endana na "uorijino". Ndio nishacheki za...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Nauza mashine ya chostic zile za kulamba (za vijiti) kama za Azam. Mashine bei ni Million 1, vikopo vyake ni 270 kila kimoja. Inagandisha chostic 80 ndani ya dakika 20. Pia...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Kipindi hiki Biashara inayokuwa na ambayo Kwa siku itajitahidi kukuingizia kipato ni Biashara za vyakula. Niliwahi kuinukuu kauli ya billionaire wetu hapa bongo MO akasema yeye binafsi kajikita...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Hello JF, Natafuta coins za zamani za Tanzania. Nataka kununua kwa bei ghali Nitapata wapi.
0 Reactions
20 Replies
15K Views
Nauza duka bei 3m haishuki, limelipiwa kodi mpka mwaka unaisha,lina leseni ya biashara inaexpire mwakani mwez wa 4 pia lina dawa za kuanzia na makabati 4 ya aluminium na mlango wake. Location ipo...
4 Reactions
29 Replies
9K Views
Weka order yako chap, sio siku nzima unashinda kufanya usafi ndani (super ten inakurahisishia kusafidha nyumba), jamani masofa na ma kapet sio unakaa na sofa au kapeti linejaa vumbi, madoa ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naitwa sharifu mussa, ni graphics designer wa Ot Technology, karibuni sana wateja kupata huduma mbali mbali za graphics designing ikiwemo label za bidhaa , business card, mabango ,. Gharama zetu...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Habari, nahitaji mtu anayeuza monitor screen ya desktop kuanzia nchi 19. Brand iwe Dell au HP. Location Dar es salaam
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Habari zenu Najua hapa jf Pana wengi ikiwemo wenye nyumba na wenye taarifa kuhusu nyumba. Inatafutwa nyumba ya Vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko na choo. Mitaa iwe ya barabara ya mbezi...
2 Reactions
1 Replies
673 Views
Habari wandugu ! Natafuta sehemu ya office size ya kati tu . Maeneo ya Dar ! Budget yangu 300k kama unajua jengo au sehem plz msaada
0 Reactions
2 Replies
547 Views
Natumai wanajamiiforum mko pia kabsa natanguliza shukran. Naomba kufahamu office za FedEx dar es salaam zinapatikana wapi I mean full address na km kuna namba zao pia naomba 🙏🙏
0 Reactions
3 Replies
2K Views
KIWANJA KINAUZWA, MBWENI DARE SALAAM SIZE: 25m*25m dakika 5 kutoka Bagamoyo Road Miundombinu yote ipo na kumeshajengeka sana Bei 8.million (milioni 8 tu za kitanzania) Mawasiliano 0713096076
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Laptop aina ya Lenovo Storage: 1 terrabyte Corei5 Ram: 8 gb Battery: 5hrs (Normal use) Processor 2.3-2.4 Ghz Imported from Dubai. Ipo clean na haijatumika kbsa hapa bongo. Unaiona kwanza...
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Watu wa Mungu! Mwenye kuuza Gypsum board ambazo ni reject (zinakuwa na dorari ndogo ndogo sana) naomba aje na offer yake. WhatsApp 0656142433 Calls/Sms 0689629763
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Tunachora Ramani za nyumba za kisasa kwa ajili ya kuchukulia kibali za ujenzi manispaa kwa bei nafuu sana Tunakufikia mikoa yote Tanzania Wasiana nasi leo kwa simu / whatsapp 0717 040 837 au 0767...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyosema used engine kutoka Dubai, inaweza kufanya kazi kwenye nissan sunny, nissan match na nissan saloon inauzwa iko complete na gearbox yake mwisho Engine haijawahi kutembea hapa...
0 Reactions
101 Replies
17K Views
  • Poll Poll
Maelezo Kwa Kiswahili Habari njema kwa wafanyabiashara mliokuwa mnapata changamoto juu ya namna bora ya kusimamia biashara zenu. Adiuta Business Assistant ni Mfumo unaokusaidia kusimamia fedha za...
11 Reactions
43 Replies
12K Views
Back
Top Bottom