Tunajenga kwa gharama nafuu

Tunajenga kwa gharama nafuu

plumber hydrogen

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2022
Posts
913
Reaction score
1,591
Habari ndugu zangu wa JF poleni na majukumu ya hapa na pale.

Sisi ni mafundi ujenzi tunajenga nyumba aina yoyote kulingana na mteja anavyo itaji kwa ubora mkubwa na kwa gharama nafuu zaidi..Vile vile tuna paua tunapiga plasta tuna jenga chemba,na mashimo ya vyoo na kupaka rangi nyumba..

Pia tunaweka mifumo yote ya maji safi na taka kuweka vyoo, maji moto na baridi tunafunga mabeseni,Kitchen sink,bidet na slop sink.

Karibuni sana pia tunatoa ushauri kuhusu ujenzi tuna patikana kwa namba 0785707660
Uliza swali lolote kuhusu ujenzi utajibiwa..

FB_IMG_16606268482878127.jpg
 
View attachment 2346107
Unapatikana mkoa gani? Je chumba self sebule na jiko wajenga kwa bei gani?
 
Back
Top Bottom