Fundi tiles Anapatikana Dodoma

Fundi tiles Anapatikana Dodoma

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,697
Reaction score
3,740
Tuna uzoefu wa kutosha kuweka tiles za aina zote kwenye majengi makubwa na wadogo.

Tumefanya kazi na baadhi ya wakandarasi wakubwa na wadogo kwa zaidi ya miaka mitano

Tulianzia dar lakini sasa hivi tumeamia Dodoma.

Tunapatikana kwa namba 0757915043 / 0712385672
Popote katika mkoa wa Dodoma tunakufikia na kufanya kazi malipo ni mpaka utakaporizika na kazi.
df3bef146f998851a6a6c2c8de3dd3db.jpg
ba0c0e6241b02260e23c3aed8a140710.jpg
e65c1fb2368e5b96acd15110e68ba560.jpg


Karibuni sana
 
Back
Top Bottom