INAUZWA Wauzaji na watengenezaji wa mashine mbalimbali

Jan 29, 2022
30
9
TUNAUZA MASHINE YA KUKATA/KUCHAKATA MAJANI WE ARE SELLING GRASS CHOPPING

Bei ni 1,550,000Tsh

Call/Text/: 0656873718
Whatsapp: 0719765056

Location; Dar es salaam, mabibo mwisho

DETAIL SIFA ZA GRASS CHOPPING MACHINE:

Ina horse power (HP) 5.4
Ina Volt 220
Ina kilowatt 4

Inauwezo wa kusaga majani makavu kilo 500 kwa lisaa limoja na pia inauwezo wa kusaga majani mabichi kilo 1,000 kwa lisaa limoja.

mifugo_tz%2BInstaUtility_-00_CUCOvWhqMmy_11-242305837_905610280364266_5997733896217006766_n.jpg
 
Nimeziona mashine mbalimbali mmejitahidi kuziweka nyingi kweli hasa hiyo ambayo ni kubwa mfano wa nyumba.
 
Chief nina shida na mashine mbalimbali za kilimo, mfano za kupalilia, kulimia n.k, mnaweza tenveneza au unaweza kujua hapa tz napata wapi?
 
Back
Top Bottom