Gari Suzuki Escudo au R4 old model inatafutwa

Prof Kibogoyo

Senior Member
May 31, 2016
112
164
Habari zenu wanajamii. Mwenye gari Suzuki Escudo old model au RV4 old model nahitaji. OFA yangu milion 10 itaongezeka kutegemea na ubora wa gari. Naitaka ya shughuli ya mashambani huko maana ni ngumu.
 
Profesa mzima huwezi kuwa masikini bhana! Ila nakuunga mkono kwenye kununua hiyo gari ya kizamani.

Maana Maprofesa wenzako kibao tu unawakuta barabarani wanakanyaga kwa miguu! Sijui huwa mnafanyia nini hela zenu nyinyi Maprofesa.
 
Habari zenu wanajamii. Mwenye gari Suzuki Escudo old model au RV4 old model nahitaji. OFA yangu milion 5 itaongezeka kutegemea na ubora wa gari. Wale maboss wa namba E mtupeni hizo namba D na C sisi maskini kwenye nchi ya tozo tumalizie.
Ipo mwanza
Screenshot_20220902-202022.png
Screenshot_20220902-202008.png
Screenshot_20220902-202022.png
Screenshot_20220902-202008.png
 
Back
Top Bottom