Natafuta Waundaji Wa Body Za Canter Tipper

Money Bags

Senior Member
Jun 22, 2012
146
670
Kwema Wakuu, Its in my hopes y’all fine.

To The Matter

Ebana nina Canter Box Body Tonne 3 nmenunua 3rd Hand Kwa Mtu Hapa Dar…Sasa nataka ni toe ile box body niweke kwenye hyo canter tipper na jack yake ili iweze binua i.e. converting it to a canter tipper kwa ajili ya kazi za Mchanga / Kokoto / Kifusi

MAHITAJI YANGU:

Wapi napata body used ili niongezee jack yake ili mafundi waweze kuunda iwe tipper ??

— Body za Canter Tipper / Jack ya kubinua body / Na mchanganuo wa malipo ya fundi yana range kwenye bei gani mpaka ikamilike ??

— Body Ya Kawaida Ya Canter Inakua Bei gani ambayo naweza vesha turubai incase nikitaka iwe gari ya kubebea mizigo ya kawaida ??

— Je nikisema ninunue mabati / plates za steel then fundi azikunje, achomee atoe body ya hyo canter itawezekana ?? Mchanganuo wa gharama na parts zake like jack etc. unakuaje ?? Itakua nafuu kuliko options nlizo jadili hapo awali ??

— Canter Tipper Ya kazi za michanga / kokoto etc na canter ya kubebea mizigo ya hapa na pale (stocks / merchant dice) ipi italipa zaidi in terms of opportunities / kazi ??

Wakuu Naombeni Mawazo Yenu Ya Dhati. Kitaa Kimewaka Mazee

Regards
 
Back
Top Bottom