Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mashine mpya kabisa ya kutengenezea chaki inauzwa Tsh 300,000 tu Ina matundu 100 Nipigie kwa 0769 863 484 tufanye biashara chap Location: Dar es Salaam
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama Tangazo linavyosema tunauza rim paper cartoon moja sh 65,000/= kwa aina zote za rim, kwa aliyeko dar ukichukua cartoon Zaid ya mbili unaletewa bure na tunatuma mpaka mikoani zifuatazo ni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Za jioni, Nahitaj chumba kimoja maeneo ya Morroco. Sitaki dalali hatuna hela ya kumpa, sina maelezo mengi.
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Bajaj ya ABIRIA inauzwa. kampuni Piaggio IGOMA-MWANZA Uhakika elfu 20 kila siku Haina shida yoyote, njoo na fundi wako mkague inapiga kazi mpaka sasa njoo na 4mil uendelee na kazi Tuwasiliane...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Karibu ujipatie Vipuri vya mitambo ifuatayo ila iwe ni brand ya CAT. 1. Grader 2. Dozer 3. Backhoe 4. Wheelloder 5. Roller Vipuri kuanzia vya engine mpaka body parts utazipata. Na attach...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Gari iko vizuri haina tatizo lolote kubwa, Engine haijaguswa. Bei ni Yah. Milioni 4. Mnunuzi serious nicheki kwa 0758515303 au 0653 626295. Niko Mwanza
1 Reactions
3 Replies
791 Views
Salaam wakuu Kwanza nichukue nafasi hii kukushukuru kwa kufungua nakutaka kujua content zilizomo katika thread hii; Mimi ni kijana mwenye kipawa Cha uchoraji michoro yenye uhalisia na huu uzi...
53 Reactions
208 Replies
18K Views
Jaman ninataka room ya kupanga morogoro iwe self contained pia security iwepo
2 Reactions
204 Replies
27K Views
Wakuu habari za weekend, Nahitaji contena la 10ft niko dodoma, kwa aliye nalo ama anayefahamu yanakopatikana naomba tuwasiliane Mawasiliano 0623441247 Asante!!!
0 Reactions
0 Replies
459 Views
House for rent at Mikocheni Morocco. ~ 3 bedrooms ~ Rent 1.5 mil. ~ Advance payment 6 months Note: Viewing charges and agent comission is applied.
0 Reactions
3 Replies
771 Views
Bei 15,000/=(Negotiable) Ipo Kigamboni 0738 862 877
0 Reactions
5 Replies
653 Views
Kama kichwa kinanyojielezea nyumba ya vyumba vitatu vya kulala kimoja master sitting room, dining na jiko na Choo cha public nyumba ni mpya kabisa ina eneo kubwa la kulaza ata gari 4 na tenki la...
0 Reactions
1 Replies
673 Views
Kwamahitaji yamashamba kwa ajili ya uwekezaji nitafute zaidi kwa namba 0763165384. Mashamba Yana miundombinu yote.napatkana mkoa wa njombe kata ya lupembe.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
nauza home theater LG watts 1000 bei 480k spika ndefu 4,1 kidogo cha mezani,base, na deki yake redio bado mpya inamakaratasi yake location:Dar es salaam,kigamboni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
DEPO YA VINYWAJI INAUZWA KAHAMA Nahusika na uuzaji wa bia za kampuni ya TBL pamoja na soda za kampuni ya COcaCola, pamoja na pombe zingine kama konyagi, kvant n.k.Kwa ujumla mzunguko ni mkubwa...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Kwa ujenzi wa vyoo vya kisasa tuwasiliane kwa no 0684158633
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Zulia kali za 3d ni nzuri sana na ni special kwa ajili ya sitting room na hata bedroom Ukubwa wake na size ni fut 7'12 kubwa mnoo Bei ni 65000 Contact ni 0767626990 . Huduma ya delivery...
0 Reactions
4 Replies
810 Views
Nauza Home theatre ya LG Ina spika zake 5 na rimoti yake ipo fresh mdundo wa maana bei 250000 ipo Tabata bima 0689719676
2 Reactions
5 Replies
930 Views
Nauza airpod f9 Chaji zinakaa wiki na kuendelea Powerbank yake inasehemu ya kuchajia simu Base la maana Imara Rejareja 45000 Jumla 35000 Zipo pcs 15 tu Tabata bima 0689719676
0 Reactions
5 Replies
821 Views
Wadau kama kichwa cha habari kinavyosema Yapo kama gunia 3 za wastani wa kilo 100 @ Yapo nje kidogo ya dar ila kwa mwenye uhitaji ntamsafirishia hadi mbezi stand Kwa anayehitaji ancheki:. 0783...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Back
Top Bottom