Jifunze kiingereza kwa kiswahili

Jifunze kiingereza kwa kiswahili

Psiteshio72

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
634
Reaction score
442
Jifunze kiingereza kwa kiswahili.

Vitendo (verbs) vipo vya maumbo tofauti, kama vile tulivyoona go/ went/ gone/ going/ goes nk.

Ila hapa tutaangalia yale maumbo matatu tuliyosema Jana , umbo mama ( infinitive form), umbo LA wakati uliopita ( past tense form) na umbo timilifu ( past participle form)

Watu wengi hufikiri past participle ni wakati (tense) ila sio mbali ni mojawapo ya maumbo ya vitendo tu, kama vile daladala ni mojawapo ya maumbo ya magari.

Sasa, tunapotaka kubadilisha umbo mama kwenda umbo la wakati uliopita (ili tuweze kulitumia tunapoongelea wakati uliopita), kuna njia mbili kuu ;

1. Kuongeza herufi 'd' au 'ed' au 'ied' kwa kitendo.

Mifano:

Smile + d = smiled
Cook + ed = cooked
Cry + ied ( unatoa hiyo 'y' kwanza) = cried

2. Umbo linabadilika kabisa kiumbile

Mifano:

'Go' inakuwa 'went'
'Eat' inakuwa 'ate'

Kwa vitendo vinavyoongezwa d/ed/ied, huitwa 'regular verbs' na ambavyo havina d/ed/ied huitwa irregular verbs.

Kati ya vitendo zaidi ya laki 3 ni vitendo chini ya mia 5 ambavyo hubadilika, ila hivyo vingine vyote hutumia mfumo wa d/ed/ied

Hivyo unafaa ujue kitendo hubadilika na kuweje katika umbo la wakati uliopita.

Ila kabla hatujaingia kwa umbo la past participle (timilifu) tuangalie kidogo maneno yanayotolewa herufi 'y' mwishoni na kuwekwa 'i' kisha 'ed'

Mifano:

Cry lazima utoe 'y' iwe cried na sio cryed ila play hutoi 'y' mbali unaongeza 'ed' moja kwa moja.

Tunatambuaje kuwa hapa toa 'y' na pengine usitoe?

Hadi hapo tumejifunza ubadulishaji wa vitendo kutoka umbo mama kwenda umbo la wakati uliopita.

Sasa tuangalie umbo timilifu ( past participle) hupatikanaje.

(Tukumbuke tulisema maumbo haya matatu ndiyo ya muhimu kukariri maana hayo mengine yana formula)

Ukiona umbo la wakati uliopita limeishia na d/ed/ied, hata umbo lake timilifu liko hivyo hivyo, yaani linafanana na umbo la wakati uliopita.

Mifano:

Jump Jumped Jumped

Try Tried Tried

Smile smiled smiled

Kwa vitendo irregular, (ambavyo havitumii d/ed/ied mwishoni, hata umbo lake timilifu huwa ni tofauti na umbo la wakati uliopita)

Mifano:

drive drove driven

Go went gone

Sing sang sung nk

Tuishie hapo kwa leo tusiingie sana kwenye verbs. Lengo letu ni kukifunza (tenses) nyakati.

Kwa mahitaji mbalimbali kama kitabu na masomo wasiliana nami 0753093869 (Jumatatu - Ijumaa Saa 3 asubuhi - 11 Jioni).
 
Uliza maswali

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Ni masomo mazuri sana ndugu mwalimu.

Kujifunza kiingereza kwa kiswahili ni jambo linalotakiwa kwa mtu ambaye ameshaanza kujua kiswahili tayari,tofauti na mtoto mdogo.

Je kuna njia ya kujua kuwa kitendo hiki ni irregular verb pale unapokiona kwa mara ya kwanza au mpaka ukione kimetumiwa ndo utajua kuwa ni irregula verb ?
 
Jifunze kiingereza kwa kiswahili.

Vitendo (verbs) vipo vya maumbo tofauti, kama vile tulivyoona go/ went/ gone/ going/ goes nk.

Ila hapa tutaangalia yale maumbo matatu tuliyosema Jana , umbo mama ( infinitive form), umbo LA wakati uliopita ( past tense form) na umbo timilifu ( past participle form)

Watu wengi hufikiri past participle ni wakati (tense) ila sio mbali ni mojawapo ya maumbo ya vitendo tu, kama vile daladala ni mojawapo ya maumbo ya magari.

Sasa, tunapotaka kubadilisha umbo mama kwenda umbo la wakati uliopita (ili tuweze kulitumia tunapoongelea wakati uliopita), kuna njia mbili kuu ;

1. Kuongeza herufi 'd' au 'ed' au 'ied' kwa kitendo.

Mifano:

Smile + d = smiled
Cook + ed = cooked
Cry + ied ( unatoa hiyo 'y' kwanza) = cried

2. Umbo linabadilika kabisa kiumbile

Mifano:

'Go' inakuwa 'went'
'Eat' inakuwa 'ate'

Kwa vitendo vinavyoongezwa d/ed/ied, huitwa 'regular verbs' na ambavyo havina d/ed/ied huitwa irregular verbs.

Kati ya vitendo zaidi ya laki 3 ni vitendo chini ya mia 5 ambavyo hubadilika, ila hivyo vingine vyote hutumia mfumo wa d/ed/ied

Hivyo unafaa ujue kitendo hubadilika na kuweje katika umbo la wakati uliopita.

Ila kabla hatujaingia kwa umbo la past participle (timilifu) tuangalie kidogo maneno yanayotolewa herufi 'y' mwishoni na kuwekwa 'i' kisha 'ed'

Mifano:

Cry lazima utoe 'y' iwe cried na sio cryed ila play hutoi 'y' mbali unaongeza 'ed' moja kwa moja.

Tunatambuaje kuwa hapa toa 'y' na pengine usitoe?

Hadi hapo tumejifunza ubadulishaji wa vitendo kutoka umbo mama kwenda umbo la wakati uliopita.

Sasa tuangalie umbo timilifu ( past participle) hupatikanaje.

(Tukumbuke tulisema maumbo haya matatu ndiyo ya muhimu kukariri maana hayo mengine yana formula)

Ukiona umbo la wakati uliopita limeishia na d/ed/ied, hata umbo lake timilifu liko hivyo hivyo, yaani linafanana na umbo la wakati uliopita.

Mifano:

Jump Jumped Jumped

Try Tried Tried

Smile smiled smiled

Kwa vitendo irregular, (ambavyo havitumii d/ed/ied mwishoni, hata umbo lake timilifu huwa ni tofauti na umbo la wakati uliopita)

Mifano:

drive drove driven

Go went gone

Sing sang sung nk

Tuishie hapo kwa leo tusiingie sana kwenye verbs. Lengo letu ni kukifunza (tenses) nyakati.

Kwa mahitaji mbalimbali kama kitabu na masomo wasiliana nami 0753093869 (Jumatatu - Ijumaa Saa 3 asubuhi - 11 Jioni).
Naomba kujua maana halisi ya hili neno "be" kwa maana nashindwa kujua naambiwa kwa wakati huu verb be itakua was au itakua will au itakua have sasa nashindwa kulekewa hasa ni kitu gani hiki be
 
Back
Top Bottom