Ukweli kuhusu freelancing hakuna mtu amewahi kukuambia

Ukweli kuhusu freelancing hakuna mtu amewahi kukuambia

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,698
Reaction score
3,741
Deleted
 
Attachments

  • IMG_20220905_184456.jpg
    IMG_20220905_184456.jpg
    60.6 KB · Views: 99
  • IMG_20220905_185047.jpg
    IMG_20220905_185047.jpg
    9.9 KB · Views: 101
  • IMG_20220905_185405.jpg
    IMG_20220905_185405.jpg
    11.5 KB · Views: 100
Freelancing ni njia rahisi ya kupata pesa ukijua namna ya kucheza na clients (tricks za kupata kazi).

Freelancing inawafaa sana watu ambao hawajaridhika na aina ya kazi wanayofanya au waliokata tamaa kuendelea na kazi.

Freelancing inakusaidia kupima ujuzi wako na kuona kama wako compitent na kuongeza thamani ya ujuzi wao

Freelancing inakuruhusu kuchagua eneo unalotaka kufanya kazi na kukupa uhuru wa kufanya kazi kwa muda unaotaka.

Freelancing inakupa muda na uwezo wa kusoma na kujua mambo mapya kila siku (learning new skills everyday)

Nchi za kenya na Nigeria freelancing imeajili watu wengi kuliko ajira zilizopo (public and private sector)

Freelancing inakufanya uthamini muda wako na ujuzi wako (maana unalipwa kwa masaa unayofanya kazi)

Freelancing unaweza kuifanya kama part time au full time na ikakulipa vizuri

Freelancing haihitaji uwe na degree au cheti chochote (unatakiwa tu kujua namna na wapi utauza ujuzi wako)

Freelancing inatarajiwa kukua na kuondoa ukosefu wa ajira dunia nzima (kwa sasa wanaita work from home)

Freelancing itakukutanisha na makampuni ya nje na kukujengea urafiki wa kudumu na baadhi ya mabosi
View attachment 2346659

Kuna majukwaa zaidi ya 100 ambayo unaweza kufanya kazi kama freelancer

Ukiwa freelancer ni rahisi kutengeneza vyanzo vingine vya mapato huko online maana utagundua fursa nyingi zaidi.

Ukiwa mwanfunzi (mwanachuo) huhitaji hata mkopo wa serikali Freelancing inaweza kukulipia kila kitu
View attachment 2346660

Kama unahitaji mwongozo zaidi kuhusu freelancing namna ya kuanza nitafute kwa whatsap tu +255693880325

View attachment 2346654
Mkuu nadhani ni vizuri kuziongelea changamoto kibao za Freelancing. Maana kwa Tanzania yetu ni nyingi kuliko hizo faida ulizotaja.

Pia ukianza fanya hii kitu kwa mentality ya kuwa ni ajira, utakua umejipa ticket ya kufail.

Na kusema ukiwa freelancer huitaji mkopo wa serikali, ume exaggerate mambo mno, unless uwe ulikua freelancer wa mwaka au miwili hivi kabla ya kwenda huko chuo kwenyewe

Otherwise, bandiko zuri...ila mambo sio rahisi ivyo. 2 weeks bila kazi ni kawaida, kwa freelancer wa bongo.
 
Otherwise, bandiko zuri...ila mambo sio rahisi ivyo. 2 weeks bila kazi ni kawaida, kwa freelancer wa bongo.
Sio 2 Weeks pekee,,,sometimes unaweza kaa hata Miezi mbili hujapata kazi,,,,,niliwahi fanya hio Freelancing 2016 but 2018 ndio nilipata kazi..... na kutokea hapo nilifululiza kazi nyingi kweli na nyingine nilipewa nje ya platform..

Hivi sasa sijaingia Mda mrefu ila kuna Dogo nilimpa Acc yangu aendelee kuitumia nayeye apate pate hizo laki laki ila naona anafeli,,,,nimenyang'anya... Madogo wa sasa wanawaza UJINGA sana kuliko vitu vya Msingi.,, wapo radhi kutumia 4hrs wakiangalia Mademu wanakata Mauno tiktok ila hawaezi tumia hata 1hrs kujifunza new skills...

Blame Society
 
No one can replace your knowledge
 
Mkuu nadhani ni vizuri kuziongelea changamoto kibao za Freelancing. Maana kwa Tanzania yetu ni nyingi kuliko hizo faida ulizotaja.

Pia ukianza fanya hii kitu kwa mentality ya kuwa ni ajira, utakua umejipa ticket ya kufail.

Na kusema ukiwa freelancer huitaji mkopo wa serikali, ume exaggerate mambo mno, unless uwe ulikua freelancer wa mwaka au miwili hivi kabla ya kwenda huko chuo kwenyewe

Otherwise, bandiko zuri...ila mambo sio rahisi ivyo. 2 weeks bila kazi ni kawaida, kwa freelancer wa bongo.
Changamoto ni chache kuliko faida
 
Back
Top Bottom