Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari, Mimi ni Johnson Yesaya Mgelwa, mkurugenzi mtendaji Ishai Real Estate. Ishai Real Estate ni moja ya biashara chini ya kampuni inayoitwa Ishai Company Limited. Ishai Real Estate, ni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamii forum nahitaji Nahitaji cpa,tea na penal code vya kiswahili vinapatikana wapi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza laptop hp 820g Core i5 HDD 500gb Ram 4gb Procesor 2.5 Batani mbili za chini hizo kwenye mouse now hazifanyi kazi Bei 300000 0689719676
0 Reactions
4 Replies
961 Views
Za mchana wana JF, Kichwa cha habari kinajieleza. Bugget yangu ni 30mil. iwe ya namba E. Call 0759888018 for more details
2 Reactions
6 Replies
609 Views
Kwema wakuu, Nafanya sole distribution ya bidhaa zifuatazo kwenu wenye maduka ya bidhaa muhimu ama FMCG na hata Pharmacy. 1.Sabuni za Ariel size zote (35gm, 500gm,1kg, 1.5kg. 3.5kg) 2.Always...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Hello, nauza simu yangu google pixel 3a nimenunua mwezi uliopita 300000. Tarehe Moja/8 napata simu nyingine naiuza hii 200000. Unaweza lipa Kwa awamu 2. Nipo, Dar es salaam. WhatsApp 0689727165
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba kujua bei za frem na chumba kwa morogoro, na maeneo yote ya moro,sehemu palipo chagamka. Sehemu ambapo unaweza kufanya bishara ya library ya movies,biashara ya nguo,gesi,n.k Natanguliza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari za mida, naomba udadavuzi wa hiyo pikipiki ikiwa mpya kabisa kuanzia bei ya dukani, usajili, bima n.k namaanisha kuanzia ununuzi wa hiyo pikpiki mpaka itakapoingia barabarani...
1 Reactions
23 Replies
40K Views
Tarehe 13 October 2022 nina send off ya bint yangu, nahitaji huduma ya min bus kama vile toyota coaster, Nissan civilian nk. Root itakuwa kutoka nyumbani Tabata kwa Swai saa 11.30 jioni kwenda...
0 Reactions
0 Replies
480 Views
Karne hii kumekuwa na watu wengi wanao shauri kuwa na tovuti/website kwa ajili ya kampuni au biashara. Sa nyingine wamekuwa wakitangaza ivo, kwa ajili ya manufaa yao binafsi. Ikiwemo kujipatia...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii simu ni used ninaitumia mwenyewe. Ukubwa ni Gb 64 internal memory rangi ya gray ina crake nyuma ila kioo ni kizima kabisa. Nauza pamoja na ear buds Tsh 290,000 lakini kama unahitaji simu...
0 Reactions
1 Replies
408 Views
Habarini ndugu! Nmeamua kuja na vitabu vya sheria kwa lugha ya kiswahili kwa ajili ya kuongeza uelewa katika mambo mbalimbali ya maisha ya kila siku,katika kitabu hiki utapata ufafanuzi katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu wafanyabiashara na wajasiriamali ngoja niwape fursa kidogo ya kutangaza biashara zetu. Kwa wale wa matangazo ya ya kwenye spika yaani unakua unaplay eneo lako la biashara huku likitaja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samsung galaxy s10 Outer glass inauzwa TZS. 40,000/= Ni mpya kabisa.
0 Reactions
0 Replies
462 Views
Circuit board ya TV Inchi 43 PT430CT02 - 1 - C - 5 inauzwa. Bei TZS. 80,000/= Ni mpya kabisa.
1 Reactions
3 Replies
553 Views
Samahan content haiendani na kichwa cha habari Nauza polo shirts (form six) kwa jumla kuanzia piece 10 na kuendelea sh 11,500/= Tunatuma mpaka mikoani 0713520180
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Amani iwe kwenu ndugu zangu! Naam nmekuja tena na vitabu vya sheria kwa kiswahili toleo la pili baada ya toleo la kwanza kufanya vizuri. Vitabu hiki kimechambua kwa undani sheria zifuatazo...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Ñdugu zangu nina shida na Mtu anaejua lugha ya Kireno kiufasaha kuongea na kuandika Kwa uweledi .KUNA KAMPUNI INATAFUTA MTU ANAEJUA HIYO LUGHA YA KIPORTUGUESE KUONGEA NA KUTAFSIRI WANA TRIP YA...
3 Reactions
5 Replies
544 Views
It has 2 bedrooms, sitting room, Kitchen and inside public toilets 📋 Plot has 400 square meters size with Sales Agreement Document ☎️0747744895
1 Reactions
2 Replies
719 Views
Wandugu ninatafuta kinanda kwa ajili ya matumizi ya kanisani,nina shilingi laki mbili.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom