Fuga Kisasa
Senior Member
- Jan 16, 2016
- 165
- 91
Shamba zuri sana kwa kufugia kitimoto linakodishwa. Lipo Kibaha Kwa Mathias
Sifa zake; mabanda mawili makubwa yanafaa kwa kufugia nguruwe, kuna store ya chakula cha mifugo, nyumba ya kukaa msimamizi wa shamba, kuna maji ya DAWASA na kisima cha kuvunia maji ya mvua. Picha zipo attached
Ni pazuri sana mtu anayeanza ufugaji, huna haja ya kujenga mabanda wakati unaweza ukaanza kwa kukodi.
Kodi yake ni sh 200,000 kwa mwezi. Kwa maelezo zaidi piga simu 0682578811