Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za kuamka wajomba, Natafuta mashine ndogo itakayoniharakishia kazi ya kumenya ndizi kwa uharaka zaidi. Kutumia kisu nachelewa sana wateja wananizonga.
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi kinauzwa Kinyerezi - Songas mbele kidogo ya mitambo ya kuzisha umeme ya Kinyerezi 1 na Kinyerezi 2. Kiwanja kipo eneo la kishua (Kwa wale wanaopajua Kinyerezi -...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nauza Cape ya juu ya kwenye kichwa cha scania, hali take imetumika na bei ni laki 5. Mawasiliano 0766201676
1 Reactions
6 Replies
677 Views
Wadau wangu wa nguvu, kwa wale wa Morogoro, kwa shilingi 12,000 pekee utapata kuku wa nyama kuanzia mwezi wa 12 kuanzia tarehe za 20 karibu karibu na Christmas 🎄. Tupeane ka support hapo...
2 Reactions
0 Replies
648 Views
Karibu ujipatie vitabu vya ufundishaji wa mifugo ya ngurue yenye tija kutoka kwa wafugaji na wakulima waliobobea. Pia utajipatia kitabu hiki kwa elfu 17. Kitabu kikiwa na muunganiko wa toleo la...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Ndugu wadau kutokana na mgao wa umeme unaoendelea hapa nchini usikubali biashara zako zisimame tunazo standby power diesel generator kwa affordable price kuanzia Kva 10 na kuendelea.PERKINS...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwema wandugu....! Mbele yenu ni kijana wa miaka 24 na form six leaver miaka minne nyuma natumia jukwaa hili la jf kuomba msada jinsi ya kupata pikipiki ya mkataba kwani Niko katika jiji la Amoc...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
KUGANDA KWA ASALI. Kitalaamu nyuki hutengeneza asali kwa kuchukua unga wa maua ujulikanao kama pollen (chavua) na majimaji matamu ya maua yaitwayo nectar (mbochi), kutoka katika vyanzo mbalimbali...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF! Natafuta soko la unga wa ubuyu na mafuta ya alizeti, yeyote anayeweza kunisaidia kupata soko, tuwasiliane kwa 0757140014 whatsapp or sms or call. Asanteni
1 Reactions
5 Replies
2K Views
I.S.T inauzwa Iko na good condition, AC Haina tatizo lolote Ipo Magomeni Contact: 0757788686
2 Reactions
2 Replies
440 Views
Habari wakuuu, Mimi nauza miwa kutoka shamba moja Kwa moja, miwa mizuri kabisa Kwa matumizi ya juice na kutafuna. Pia naomba Kwa anayejua sehemu ya uhakika nayoweza kushusha mzigo nikauza Kwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
HP Pavilion dv6RAM : 4GB Processor: core i5 Hard Disk Drive : 500GB DVD-RW WEBCAM Battery last up to 3 hours Who come first take it first Price: Tsh 530,000/= (negotiable) Contact: +255769142586...
0 Reactions
84 Replies
9K Views
Karibuni kwenye Mada: Najua umewai kusikia, kuona ama kufahamiana na watoto wanaoishi mitaani!? [emoji848] Najua una viulizo kuhusiana na hilo[emoji2309]!???? Katika maswali yako Ulishawai...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wadau, Nauza gari aina toyota hilux surf, ni manual gear. Ina engine mpya ya 5L na gari haidaiwi wala haina shida ya kiufundi na bei ni 9,000,000 tu. Karibu kwa maongezi 0714-796778 na...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nyumba ipo kwenye mauzo kwa yeyote mwenye uhitaji tsh.50m, vyumba 3 kimoja master, dining, kitchen, sitting room na public toilet kiwanja chake robo tatu heka. Inapatikana Manispaa ya Songea...
0 Reactions
0 Replies
449 Views
Kama hizi zilizoko kwenye picha
0 Reactions
2 Replies
583 Views
Bado ni mpya nimenunuliwa zawadi, lakini mie sina matumizi nayo, thamani yake ni 370,000 ila mimi mtu akinipa 250000 namwachia. Karibu pm.
0 Reactions
2 Replies
529 Views
Android car radio tshs. 200,000/ fixed 📞 0785335350
0 Reactions
2 Replies
675 Views
Hello! Kuna jamaa yangu anatafuta taasisi ya mikopo inayotoa mkopo kwa haraka hapa DSM. Dhamana ni kadi ya gari. Ukipatikana atakuja hadi ofisin kwako. Karibuni.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Karibuni sana wakaz wa jiji la dar es salam na mikoan .. tumeleta mzigo kwa bei ya jumla tuh elf 20 unapendeza For more infor call/whatsp 0767603688. Note kwa dar n free delivery kwa mkoa...
0 Reactions
9 Replies
958 Views
Back
Top Bottom