Shona suti kwa bei nafuu mno

Shona suti kwa bei nafuu mno

True Believer

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2019
Posts
588
Reaction score
900
Kwa wakazi wote mliopo Dar-es-salaam na Nje ya Dar hii n fursa Yenu sasa. Karibuni sana kwa CHIKAWE TAILORING MART TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:-

[emoji419] Tunapokea Tenders zote zinazohusiana na Ushonaji wa sare za harusi na Uniforms za Aina zote. Za kike na za kiume.

[emoji419] Tunashona Nguo za Kike na za kiume kwa gharama nafuu mno.

[emoji419] Tunauza vifaa vya ushonaji.

[emoji419] Tunashona suti full za Kike na za Kiume kwa gharama nafuu sana.

[emoji419] Tunatengeneza Cherehani pia zilizoharibika.

[emoji419] Tunatoa mafunzo na Kupokea Wanafunzi wa Jinsia zote ambao wako tayar na Watakaohitaji kujifunza ufundi..... Kwa gharama nafuu mno.

[emoji419]Tupo Temeke-Mikoroshini..... Hatua chache sana kutoka Mwembe Yanga.

•Proffesional Chikawe [emoji338]+255623578541•

[emoji146][emoji146]Kwetu mteja n zaid Ya King.... Woote mnakaribishwa[emoji1545][emoji1545]

Sample[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
View attachment 1567371View attachment 1567372View attachment 1567373View attachment 1567374
 
Karibun saana kwa PROFESSIONAL CHIKAWE.....

•Ghalama zake ni nafuu mno.. Na utendaji wake kazi ni wakiwango cha Juu... Wote mnakrbishwa.
 
Mkuu ingependeza kama ungeweka na bei ya chini kabisa!
Jambo zuri mkuu na ndo maana Tukaweka mawasiliano hapo juu.... Au unaweza kuja officn kwetu.... Usiogope Ghalama n za kawaida mno... Hautaamn mkuu[emoji3578][emoji3578]
 
#1. Je inachukua muda wa siku ngapi kwa mteja kukabidhiwa suti kama hii toka siku aliyolipia?

#2. Najua bei hutegemea aina ya kitambaa, Je unaweza kutuweka japo range ya bei minimum kuanzia ngapi hadi TZS ngapi? , Ili mteja anapokuja awe na idea ya bei tarajali.

#3. Iwapo nitakuletea kitenge ili nishonewe shati la mikono mirefu, mtu mkubwa, bei ya mashono pekee ni kiasi gani? na inachukua siku ngapi?

Ahsante.
 
1. Maximum kwa suti au nguo yyte ile ni 7 days.... Inaweza kuwa chn ya hpo kutokana na wng au uchache wa kaz... Ila haivuk cku7

2. Range ya kitambaa quality na vyenye kiwango cha hal ya juu n kuanzia 15000 kwa mita moja... Mkuu

3. Kwenye suala la kushonewa shat la kitenge... Ktenge kikiwa chko mashono itakuwa n Tsh.15000 tu.
 
[emoji1541]
 
Attachments

  • IMG_20200912_135229.jpg
    IMG_20200912_135229.jpg
    54.1 KB · Views: 52
Kwa wakazi wote mliopo Dar-es-salaam na Nje ya Dar hii n fursa Yenu sasa. Karibuni sana kwa CHIKAWE TAILORING MART TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:-

[emoji419] Tunapokea Tenders zote zinazohusiana na Ushonaji wa sare za harusi na Uniforms za Aina zote. Za kike na za kiume.

[emoji419] Tunashona Nguo za Kike na za kiume kwa gharama nafuu mno.

[emoji419] Tunauza vifaa vya ushonaji.

[emoji419] Tunashona suti full za Kike na za Kiume kwa gharama nafuu sana.

[emoji419] Tunatengeneza Cherehani pia zilizoharibika.

[emoji419] Tunatoa mafunzo na Kupokea Wanafunzi wa Jinsia zote ambao wako tayar na Watakaohitaji kujifunza ufundi..... Kwa gharama nafuu mno.

[emoji419]Tupo Temeke-Mikoroshini..... Hatua chache sana kutoka Mwembe Yanga.

•Proffesional Chikawe [emoji338]+255623578541•

[emoji146][emoji146]Kwetu mteja n zaid Ya King.... Woote mnakaribishwa[emoji1545][emoji1545]

Sample[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
View attachment 1567371View attachment 1567372View attachment 1567373View attachment 1567374
Suti laki 4 si bora tu niagize China au niende kwa Speshoz
 
Back
Top Bottom