Natafuta gari la kununua

Joachimb

Member
Jul 23, 2017
62
63
Nahitaji gari la kununua kutoka kwa mtu ambaye siyo dalali.

Gari liwe kwenye hali nzuri kampuni ya toyota, bajeti yangu ni milion 3.5 .

Kwa mawasiliano zaid tutaonana inbox kama kuna mtu anayo.
 
Ngoja waje wale watoa ushauri wakwambie kua "Hiyo hela si bora uwekeze kwenye biashara"

😂😂😂😂
 
Nahitaji gari la kununua kutoka kwa mtu ambaye siyo dalali.

Gari liwe kwenye hali nzuri kampuni ya toyota, bajeti yangu ni milion 3.5 .

Kwa mawasiliano zaid tutaonana inbox kama kuna mtu anayo.
Toyota vitz
Old model
Cc 990
Year 2002
Price 4.3m

IMG-20221029-WA0027.jpg
 
Nahitaji gari la kununua kutoka kwa mtu ambaye siyo dalali.

Gari liwe kwenye hali nzuri kampuni ya toyota, bajeti yangu ni milion 3.5 .

Kwa mawasiliano zaid tutaonana inbox kama kuna mtu anayo.
Nyingize hizi
Corolla x
Number A= 3.5M
NUMBER B= 4M
IMG-20221103-WA0051.jpg
IMG-20221103-WA0050.jpg
IMG-20221103-WA0061.jpg
IMG-20221103-WA0066.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom