Natafuta wauzaji wa vifaa hivi

Natafuta wauzaji wa vifaa hivi

Profeshino

Member
Joined
Oct 14, 2018
Posts
6
Reaction score
1
Wauzaji vifaa hivi Tuwasiliane.
1: Hot air machine { Blower }
2: Screw driver
3: Tweezer
4: Solderling Paste
5: Soldering Wire
6: Ultrasonic cleaner
7: Capacitor
8: Transistor
9: Diode

10: IC
11: TDA IC
12: LED
13: Resistor
14: Relays
15: Veristor
16: Themistor

Note: NIKWAWENYE MADUKA YA JUMLA TU .
Kwahizo Electronics ni Model zote.

Mwenye Navyo Dukani Kwake
Tuwasiliane
0754 062 155 WhatsApp
TUFANYE BIASHARA
 
Wauzaji vifaa hivi Tuwasiliane.
1: Hot air machine { Blower }
2: Screw driver
3: Tweezer
4: Solderling Paste
5: Soldering Wire
6: Ultrasonic cleaner
7: Capacitor
8: Transistor
9: Diode

10: IC
11: TDA IC
12: LED
13: Resistor
14: Relays
15: Veristor
16: Themistor

Mwenye Navyo Dukani Kwake
Tuwasiliane
0754 062 155 WhatsApp
TUFANYE BIASHARA
♡Taja namba ya Transistors.
♡Hizo capacitor ni Volts ngapi na microfarad ngapi? Pia. ni polarized au Dipolarized
♡Namba ya Diodes
♡Hot blower ya Watts ngapi?
♡Soldering wire ya Components au micro Component
♡TDA ICs. Ni za amplifier au????
♡Taja majina ya ICs na Namba zake
 
sawa
lakini Pia sihitaji kimoja
nahitaji vingi kwa kila kimoja { Vya Jumla }
 
sawa
lakini Pia sihitaji kimoja
nahitaji vingi kwa kila kimoja { Vya Jumla }
Taja specifications basi. Sasa ww unasema unataka Transistors. Wakati unajua zipo aina ya elfu 10. Taja specifications za vifaa unavyotaka
 
Taja specifications basi. Sasa ww unasema unataka Transistors. Wakati unajua zipo aina ya elfu 10. Taja specifications za vifaa unavyotaka
Katika kila nilichokiandika
Nahitaji Aina zake zote na Namba zote
Ambazo zitakuwa zipo Dukani Kwako.

Mfano nilivoandika Transistor maana ake na hitaji Aina zote za Transistor

Kwahyo kwa kila nilichoandika Nahitaji Aina zake zote na Namba zake zote.
 
. Wala hauko serious na biashara.
Huoni aibu kusema unahitaji transistors aina zote.
Inaelekea hata transistors zenyewe huzijui
 
. Wala hauko serious na biashara.
Huoni aibu kusema unahitaji transistors aina zote.
Inaelekea hata transistors zenyewe huzijui
Tatizo Ulilonalo ww ni Upunguvu wa ufikili na Siwezi kukulaumu kwa hilo.
Nna Masters ya Electronics
•Siku zote unapokuwa una oda mzigo kwa jumla bas ina paswa ueleze kwa Ujumla.

Mfano:
Unapotaka fungua kampuni ya Kuuza magari Leja leja inatakiwa uagize mzigo wa jumla wa magari
Ambapo utaagiza gari Ambazo unaamini zitauzika katika biashara yako
Ivo wakati wa kuoda mzigo wako wa magari wa jumla utaandika
• TOYOTA - ALL MODEL
• NISSAN - ALL MODEL
•MISTUBISH - ALL MODEL

Kwahyo Utaorodhesha Majina yote ya Gari unazohitaji kwahyo uko unakooda mzigo wakiwa hawana Model zote za aina ya Gari uliotaka BAs watakupa Baadhi ambazo zipo

LAKINI MTEJA WA LEJA LEJA HUWA ANAAGIZA MZIGO
KWA KUANDIKA JINA LA KAMPUNI MFANO NISSAN pamoja na MODEL YAKE
ILA WAJUMLA HAFANYI IVO KWAKUA ANATAKA KUKIDHI MAHITAJI YOTE YA WATEJA WA LEJA LEJA
INAMAANA KILA MODEL ITAKAYOULIZIWA IWEPO.

MPAKA HAPO UTAKUWA UMEELEWA

PIA

KUMBUKA : TANGAZO LANGU LIKO INTEREST NA WENYE MADUKA YA JUMLA . KWA7BU MIMI NATAKA MZIGO WA JUMLA .
KWAHYO
IC - All model
Diode - All model
Transistor - All model

Wanaotakiwa waandike ni IC Namba ngapi ni wale wanao chukua leja leja na huwa wananunua kwa Lengo la ku Replace kifaa kilicho fault.

KWAHYO KAMA WEWE HAUNA DUKA LA VIFAA VYA JUMLA VYA ELECTRONICS
BASI HILI TANGAZO HALIKUHUSU HATA KWA MBALI

SIKU ZOTE UKIONA JAMBO HALIKUHUSU BAS WE ACHANA NALO

MZIGO WA JUMLA HUWA HAUAGIZWI KWA KUTAJA
MODEL YA KIFAA / NAMBA YAKE.

BALI HUAGIZWA KWA JINA LAKE TU.
KWA7BU JINA LAKE
HUJUMUISHA AINA ZAKE ZOTE KATIKA NAMBA TOFAUTI TOFAUT.

Nakushauri Tu
JIFUNZE KUTAFAKARI KABLA YA KULOPOKA .

ANAE ODA KIFAA KIMOJA NDO ANAPASWA KUTAJA JINA LA KIFAA PAMOJA NA NAMBA ZAKE ILI ASIPATIWE KIFAA TOFAUTI NA ALICHO KUWA ANAKIHITAJI.

KAMA HUNA DUKA LA JUMLA HII THREAD HAIKUHUSU KABISA
WAACHIE INAEWAHUSU.
 
. Wala hauko serious na biashara.
Huoni aibu kusema unahitaji transistors aina zote.
Inaelekea hata transistors zenyewe huzijui
muuzaji wowote wa Vifaa vya Electronics na Ambae Mtaalam
Ukimwambia
Nahitaji TRANSISTOR aina zote
lazima Akuelewe

naana Kupatika aina za Transistor Ambazo Anazo ikiwa kama Hana Model zote.

KWAHYO WEWE NDO UNAPASWA UONE AIBU KWA KUSHOBOKEA VITU VISIVYO KUHUSU na USIVYOELEWA UAGIZWAJI WAKE .

kwa7bu inajulikana kuwa
kuna Aina mbili za Transistor
1.PNP
2.NPN
ko Badala ya hapo ni Code tu na Namba.

ivo ukiwa unataka mzigo wa Jumla wa TRANSISTOR unasema tu
NATAKA
Transistor - All model

All Model - Inajumuisha Aina zake zote, Code zake na Namba zake
Ivo
ALL MODEL = AINA ZAKE ZOTE + MODEL ZAKE + NAMBA ZAKE

Ushaur wa Bure nakupa
PENDA KUTAFAKALI KWA KINA KABLA YA KUKULUPUKA
 
Mkuu ulifanikiwa kupata hivo vifaa.
 
Binafsi
Nahitaji vitu vifuatavyo hivyo naomba kujua bei yake. Niko mwanza

1.SOLDIERING STATION
2.PCB HOLDER
3.TWEEZER
4.JUMPER WIRE
5.PCB CLEANER
6.HAND TOOLS
7.PASTE FLUX
8.SOLDIER PASTE
9.WIRE STRIPPER PLIERS
10.LONG NOSE PLIERS
11.SOLDERING WIRE
12.AUDIO AMPLIFIER WITH BLIETOOTH AND REMOTE(amplifier ndogo kabisa?
 
Back
Top Bottom