Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,882
- 4,596
Habari za mda huu watu wangu wa nguvu tena jukwaa letu pendwa la matangazo madogomadogo.
Nipo hapa kwa ajili ya kuwatangazia kuwa Nauza Router, kifaa kipo Good Condition na bei ni Kitonga kabisa.
Napatikana MBAGALA - DSM but kama wewe uko DAR sehemu yoyote basi tunaweza kukutana na kufanya Biashara,
Ukihitaji basi nicheck hapa au PM, Nauza kwa sababu nina shida ya pesa kwa Sasa na kama mnavyojua Kimfaae mtu ni chake na sio kutumia nguvu kwa kuiba au kupora.
Mbarikiwe sana Watu nguvu🙏🙏
View attachment 2383878View attachment 2383879